MSAADA JUU YA KUANGALIA SALARY SLIP ON LINE

Elongo Junior

Member
Apr 21, 2018
55
29
Wana JF habari za majukumu. NIMESAJILI huduma ya salary slip portal kupitia MOF. Hatua zote za mwanzo huduma ina kamilika, tatizo napofikia hatua ya kujaza mwaka ninaohitaji slip. Hapo niki click VIEW SALARY SLIP yanakuja maandishi, "THE FIELD FISCAL YEAR MUST BE A NUMBER" na inafeil kuonesha slip. Naomba mnisaidie wana JF Nifanyeje katika hatua hii
 
kuna kitu unakosea kujaza au mwezi au mwaka unaandika kimakosa
 
Nisaidieni na Mimi,kwenye ku register kipengele Cha code na sub code nashindwa,sizifamu.Nawezaje kuzifahamu?
 
IMG_20181028_082117.jpeg
 
Back
Top Bottom