INSIDER MAN
JF-Expert Member
- Nov 7, 2018
- 2,057
- 20,918
Katika zunguka zunguka zangu leo nmepata ring
nzuri kwa bei poa kabisa ya Tshs 3,000/= ni gold kwa ajili ya engagement jamaa amesema kama itakua mbaya nirudshe anibadilishie. Wakuu nyie mnaonaje shape ake ilivokaa ipoje?