Wakuu, mdogo wangu amechaguliwa vyuo zaidi ya kimoja, chuo cha ardhi kikiwemo, lakini toka asubuhi mpakaa saiv (saa tatu usiku) akijaribu ko-login inakataa.. alitaka ku-confirm hicho chuo cha ardhi lakini ndo ivoo.

Wahusika tunaomba mtusaidie..
Sio kwamba namsingizia mdogo wangu mkuu, nakuambia ukweli. Mimi yangu nilisha-confirm tena ile first round kabisaa.
We kama unaweza kusaidia, toa msaada tu.
Sasa nyie wakubwa,. Mnapoisoma hii thread yangu bila kutoa msaada, mnapita bila kunisaidia. Ndo maana yake nini?? Kwamba haieleweki au wahusika hawapo??
Toeni basi msaada pliz

Sasa wewe unataka nikudanganye ndo uridhike au?? Mimi nakuambia yangu nilisha-confirm hamuelewi..
Unazani mimi siwezi kuwa na mdogo wangu?? Au unazani mdogo wangu lazima tusiwe naye level moja???
We toa msaada, kama hujui bora utulie tu usijishkize et mdogo wangu...
Daa!! Tanzania bhana!!
Jambo muhimu mnaacha halafu lisilokuwa na umuhimu ndo mnang'ang'ana nalo... Sasa kama. Ni mdogo wangu hamuwezi kumsaidia??????