Bokohalamu
Member
- Mar 13, 2012
- 94
- 8
Boko haramu, unataka mshahara au cheo, waambie wakupe milioni mbili kwa cheo hicho hicho. HAwana isipungue 1.8 after all the deductions. hivi hivi utasumbuana nao ajira zenyewe utata.
kaka,be very wise katika hili...je ushawahi kudodosa wenzako waliaza na kiasi gani?,na katika kazi zako,unadhani kuna mishemishe unaweza ukafanya zikakupatia kipato zaidi?inavyoonekana,na wao wanasikilizia upepo,kwamba utasemaje,ukitaja chini sana kitakula kwako,na ukitaja juu sana,wanaweza waka-cancel.pia sikushauri utumie viwango vya serikali,kwani kuna factors zingine kama,kupandishwa mshahara kwao uko kwa mpangilio gani?kuna allowances zozote utakazopata?ukiacha kazi watakulipa n.k.siupi support ushauri wa DaPilly,kwani ukiiacha kazi ama ukaikosa kisa hukuwa makini katika salary negotiations,itakugharimu muda zaidi na fedha zaidi ili kuweza kupata kazi nyingine nzuri.....my take,jibebee uzoefu kwanza hapo ulipo,ujuane na watu,ukishakuwa tegemezi ndo labda uanze ku-reason mshahara,kwa sasa fresh graduates ni wengi sana,na wanaitamani kazi yako.chakarika na utumie busara ya juu katika hili.....ni mawazo yangu tu.
Ni kweli uyasemayo mdau, ila allowance zilzopo ni chakula na malazi huko bush kwa kua ni mbali na town so hutoweza kuvipata hivyo vitu kiurahisi, pia hawaja angalia gharama za kuhama kwangu, ingekua mjini ingekua poa zaidi kwa maana nafanya huku nikiomba kazi sehemu nyingine ila huko hakuna umeme ni generator tu one time,airtel tu ndio inapatikana, hakuna kujiendeleza kabisa!
Habari wakuu! Baada ya kukaa na hii private kampuni kwa miez zaidi ya probation period waliyonipa wakiwa wananipa allawance tu, leo wamenipa barua ya kazi rasmi niisome nikiridhia ni sign. Hii kampuni ni ndogo na bado inaoperate at loss, tatizo ni kwamba wanataka kubana matumizi hivyo wameni title kama Accounts assistant wakati mimi nina Advanced Diploma in Accontancy na Postgraduate Diploma in Accontancy,kwangu nahisi si sawa wamenishusha ili ni dai zaidi. Nililalamika juu ya hili nikapewa nafasi ya kwenda kutafuta source zitakazo onyesha ni kiasi gani haswa mtu mwenye sifa zangu anayeanza kazi anapashwa kulipwa,ni kawaambia wajaribu kucheki na utumishi wakaniambia nitafute mwenyewe hawaijiu! Sasa ombi langu kwenu ni ushauri na pia wapi naweza pata hizo details za viwango vya mishahara ya serikari vitakavyo washawishi, ingawaje najua serikalini pia imegawanyiaka kutokana idara mbalimbali, na hapo ndipo pana nichanganya sasa, kweli kazi ni ngumu! Pia nilikua hapa town ila kwa sasa wanataka kunipeleka huko kijijini kwenye operation zenyewe! Akhsanteni kama nitakua nimeeleweka!
kaka,be very wise katika hili...je ushawahi kudodosa wenzako waliaza na kiasi gani?,na katika kazi zako,unadhani kuna mishemishe unaweza ukafanya zikakupatia kipato zaidi?inavyoonekana,na wao wanasikilizia upepo,kwamba utasemaje,ukitaja chini sana kitakula kwako,na ukitaja juu sana,wanaweza waka-cancel.pia sikushauri utumie viwango vya serikali,kwani kuna factors zingine kama,kupandishwa mshahara kwao uko kwa mpangilio gani?kuna allowances zozote utakazopata?ukiacha kazi watakulipa n.k.siupi support ushauri wa dapilly,kwani ukiiacha kazi ama ukaikosa kisa hukuwa makini katika salary negotiations,itakugharimu muda zaidi na fedha zaidi ili kuweza kupata kazi nyingine nzuri.....my take,jibebee uzoefu kwanza hapo ulipo,ujuane na watu,ukishakuwa tegemezi ndo labda uanze ku-reason mshahara,kwa sasa fresh graduates ni wengi sana,na wanaitamani kazi yako.chakarika na utumie busara ya juu katika hili.....ni mawazo yangu tu.
wewe kafanye kazi kama Ass.Accountant, na mshahara serikali ni sh.416,000 kwa mwenye degree au Ad. diploma, sasa serikali imepandisha mishahara unapaswa kulipwa si chini ya 500,000 fedha halali ya kitanzania, vinginevyo wape muda waoneshe kuwa unajua kazi halafu watakuja juta siku ukiondoka, me nakumbuka pamoja na kuwa na elimu kubwa niliwahi kufanya kazi nikalipwa 250,000 kwa mwezi wa kwanza, 400,000 kwa mwezi wa pili, na waliahidi kuendelea kupandisha kila mwezi, ila nashukuru Mungu leo ni habari zingine kabisa i am talking of money, we kapige kazi huku ukitafuta kazi.