Msaada juu ya ajira niniayotakiwa kupatiwa.

Bokohalamu

Member
Joined
Mar 13, 2012
Messages
94
Points
70

Bokohalamu

Member
Joined Mar 13, 2012
94 70
Habari wakuu! Baada ya kukaa na hii private kampuni kwa miez zaidi ya probation period waliyonipa wakiwa wananipa allawance tu, leo wamenipa barua ya kazi rasmi niisome nikiridhia ni sign. Hii kampuni ni ndogo na bado inaoperate at loss, tatizo ni kwamba wanataka kubana matumizi hivyo wameni title kama Accounts assistant wakati mimi nina Advanced Diploma in Accontancy na Postgraduate Diploma in Accontancy,kwangu nahisi si sawa wamenishusha ili ni dai zaidi. Nililalamika juu ya hili nikapewa nafasi ya kwenda kutafuta source zitakazo onyesha ni kiasi gani haswa mtu mwenye sifa zangu anayeanza kazi anapashwa kulipwa,ni kawaambia wajaribu kucheki na utumishi wakaniambia nitafute mwenyewe hawaijiu! Sasa ombi langu kwenu ni ushauri na pia wapi naweza pata hizo details za viwango vya mishahara ya serikari vitakavyo washawishi, ingawaje najua serikalini pia imegawanyiaka kutokana idara mbalimbali, na hapo ndipo pana nichanganya sasa, kweli kazi ni ngumu! Pia nilikua hapa town ila kwa sasa wanataka kunipeleka huko kijijini kwenye operation zenyewe! Akhsanteni kama nitakua nimeeleweka!
 
DaPilly

Senior Member
Joined
Mar 2, 2012
Messages
183
Points
225

DaPilly

Senior Member
Joined Mar 2, 2012
183 225
Boko haramu, unataka mshahara au cheo, waambie wakupe milioni mbili kwa cheo hicho hicho. HAwana isipungue 1.8 after all the deductions. hivi hivi utasumbuana nao ajira zenyewe utata.
 
Bokohalamu

Member
Joined
Mar 13, 2012
Messages
94
Points
70

Bokohalamu

Member
Joined Mar 13, 2012
94 70
Boko haramu, unataka mshahara au cheo, waambie wakupe milioni mbili kwa cheo hicho hicho. HAwana isipungue 1.8 after all the deductions. hivi hivi utasumbuana nao ajira zenyewe utata.
Mkuu mi mwenyewe naangalia mkwanja tu, sasa wamenipa kidogo kupita maelezo ukizingatia naenda Bush, nikajua nikutokana na title waliyonipa na experince niliyonayo kwakua ndio naanza ndio sababu, so niakona nikomaa kwenye kuipandisha title labda na mkwanja utapanda!
 
snochet

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2011
Messages
1,274
Points
1,225

snochet

JF-Expert Member
Joined Mar 31, 2011
1,274 1,225
kaka,be very wise katika hili...je ushawahi kudodosa wenzako waliaza na kiasi gani?,na katika kazi zako,unadhani kuna mishemishe unaweza ukafanya zikakupatia kipato zaidi?inavyoonekana,na wao wanasikilizia upepo,kwamba utasemaje,ukitaja chini sana kitakula kwako,na ukitaja juu sana,wanaweza waka-cancel.pia sikushauri utumie viwango vya serikali,kwani kuna factors zingine kama,kupandishwa mshahara kwao uko kwa mpangilio gani?kuna allowances zozote utakazopata?ukiacha kazi watakulipa n.k.siupi support ushauri wa DaPilly,kwani ukiiacha kazi ama ukaikosa kisa hukuwa makini katika salary negotiations,itakugharimu muda zaidi na fedha zaidi ili kuweza kupata kazi nyingine nzuri.....my take,jibebee uzoefu kwanza hapo ulipo,ujuane na watu,ukishakuwa tegemezi ndo labda uanze ku-reason mshahara,kwa sasa fresh graduates ni wengi sana,na wanaitamani kazi yako.chakarika na utumie busara ya juu katika hili.....ni mawazo yangu tu.
 
Last edited by a moderator:

Ni kweli uyasemayo mdau, ila allowance zilzopo ni chakula na malazi huko bush kwa kua ni mbali na town so hutoweza kuvipata hivyo vitu kiurahisi, pia hawaja angalia gharama za kuhama kwangu, ingekua mjini ingekua poa zaidi kwa maana nafanya huku nikiomba kazi sehemu nyingine ila huko hakuna umeme ni generator tu one time,airtel tu ndio inapatikana, hakuna kujiendeleza kabisa!
 
Jeff

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2009
Messages
1,268
Points
1,225

Jeff

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2009
1,268 1,225
Ni kweli uyasemayo mdau, ila allowance zilzopo ni chakula na malazi huko bush kwa kua ni mbali na town so hutoweza kuvipata hivyo vitu kiurahisi, pia hawaja angalia gharama za kuhama kwangu, ingekua mjini ingekua poa zaidi kwa maana nafanya huku nikiomba kazi sehemu nyingine ila huko hakuna umeme ni generator tu one time,airtel tu ndio inapatikana, hakuna kujiendeleza kabisa!
daaaaah, hapo inabidi ufikirie mara mbili mkuu, maana huko watakuwa wamekupoteza kwa kweli,so maslahi lazima yawe mazuri
 
Von Mo

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2012
Messages
1,824
Points
2,000

Von Mo

JF-Expert Member
Joined May 7, 2012
1,824 2,000
Habari wakuu! Baada ya kukaa na hii private kampuni kwa miez zaidi ya probation period waliyonipa wakiwa wananipa allawance tu, leo wamenipa barua ya kazi rasmi niisome nikiridhia ni sign. Hii kampuni ni ndogo na bado inaoperate at loss, tatizo ni kwamba wanataka kubana matumizi hivyo wameni title kama Accounts assistant wakati mimi nina Advanced Diploma in Accontancy na Postgraduate Diploma in Accontancy,kwangu nahisi si sawa wamenishusha ili ni dai zaidi. Nililalamika juu ya hili nikapewa nafasi ya kwenda kutafuta source zitakazo onyesha ni kiasi gani haswa mtu mwenye sifa zangu anayeanza kazi anapashwa kulipwa,ni kawaambia wajaribu kucheki na utumishi wakaniambia nitafute mwenyewe hawaijiu! Sasa ombi langu kwenu ni ushauri na pia wapi naweza pata hizo details za viwango vya mishahara ya serikari vitakavyo washawishi, ingawaje najua serikalini pia imegawanyiaka kutokana idara mbalimbali, na hapo ndipo pana nichanganya sasa, kweli kazi ni ngumu! Pia nilikua hapa town ila kwa sasa wanataka kunipeleka huko kijijini kwenye operation zenyewe! Akhsanteni kama nitakua nimeeleweka!
wewe kafanye kazi kama Ass.Accountant, na mshahara serikali ni sh.416,000 kwa mwenye degree au Ad. diploma, sasa serikali imepandisha mishahara unapaswa kulipwa si chini ya 500,000 fedha halali ya kitanzania, vinginevyo wape muda waoneshe kuwa unajua kazi halafu watakuja juta siku ukiondoka, me nakumbuka pamoja na kuwa na elimu kubwa niliwahi kufanya kazi nikalipwa 250,000 kwa mwezi wa kwanza, 400,000 kwa mwezi wa pili, na waliahidi kuendelea kupandisha kila mwezi, ila nashukuru Mungu leo ni habari zingine kabisa i am talking of money, we kapige kazi huku ukitafuta kazi.
 
THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2012
Messages
13,996
Points
2,000

THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2012
13,996 2,000
kaka,be very wise katika hili...je ushawahi kudodosa wenzako waliaza na kiasi gani?,na katika kazi zako,unadhani kuna mishemishe unaweza ukafanya zikakupatia kipato zaidi?inavyoonekana,na wao wanasikilizia upepo,kwamba utasemaje,ukitaja chini sana kitakula kwako,na ukitaja juu sana,wanaweza waka-cancel.pia sikushauri utumie viwango vya serikali,kwani kuna factors zingine kama,kupandishwa mshahara kwao uko kwa mpangilio gani?kuna allowances zozote utakazopata?ukiacha kazi watakulipa n.k.siupi support ushauri wa dapilly,kwani ukiiacha kazi ama ukaikosa kisa hukuwa makini katika salary negotiations,itakugharimu muda zaidi na fedha zaidi ili kuweza kupata kazi nyingine nzuri.....my take,jibebee uzoefu kwanza hapo ulipo,ujuane na watu,ukishakuwa tegemezi ndo labda uanze ku-reason mshahara,kwa sasa fresh graduates ni wengi sana,na wanaitamani kazi yako.chakarika na utumie busara ya juu katika hili.....ni mawazo yangu tu.

well said..,
yeye akafanye kazi tuh,haya mambo mengne ni baadae

akajenge na kutafuta uzoefu kwanza,maisha hayaji juu kwa ghafla ivo
 
Bokohalamu

Member
Joined
Mar 13, 2012
Messages
94
Points
70

Bokohalamu

Member
Joined Mar 13, 2012
94 70
wewe kafanye kazi kama Ass.Accountant, na mshahara serikali ni sh.416,000 kwa mwenye degree au Ad. diploma, sasa serikali imepandisha mishahara unapaswa kulipwa si chini ya 500,000 fedha halali ya kitanzania, vinginevyo wape muda waoneshe kuwa unajua kazi halafu watakuja juta siku ukiondoka, me nakumbuka pamoja na kuwa na elimu kubwa niliwahi kufanya kazi nikalipwa 250,000 kwa mwezi wa kwanza, 400,000 kwa mwezi wa pili, na waliahidi kuendelea kupandisha kila mwezi, ila nashukuru Mungu leo ni habari zingine kabisa i am talking of money, we kapige kazi huku ukitafuta kazi.
Nimekusoma mkuu, niatenda soma mazingira ingawaje access ya kuomba kazi na kuhudhuria interview itakua ngumu sana, ila ngoja nikaongeze experience! wao wananitaka nianze na 350,000 hapo bado sijakatwa kodi, anyways nitakomaa hivyohivyo!
 
Von Mo

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2012
Messages
1,824
Points
2,000

Von Mo

JF-Expert Member
Joined May 7, 2012
1,824 2,000
komaa nao kaka upate hata za kumalizia mwaka, ajira zenyewe zinazingua, usinione kichwa wazi kukushauri najua hali iliyopo mtaani, kuna watu wana CPA, Master na bado hawajatoka
 
Forum statistics

Threads 1,390,630
Members 528,220
Posts 34,057,002
Top