Msaada: Jua limeharibi dashbord la kwenye gari yangu. Nifanyeje kutengeneza?

upeo

JF-Expert Member
Jun 10, 2013
356
207
Wakuuu habari za asubuhi,

Naomba msaada

Jua limeharibi dashbord la kwenye gari yangu.

Nimehangaika kutafuta spray.

Yoyote ile itayoweza kusaidia ku repair damage lakini madukani hakuna.

Kubwa wananambia piga polish.

Ukipiga polish damage haiondoki.

Je, wakuu nini cha kufanya ili muoonekano wa dashbord urudi kama zamani?

Asanteni
 
Miye ile ya kusoma Km/h imekufa siku inasoma siku haisomi. Sababu wanasema jua parking ni majanga
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom