kaka hio pc imekuja na windows gani? kama ilikuja na 7 hamna haja ya kuiba binua pc kwa nyuma utakuta product code yako eka kitu kitakua genuine.
kama still bado unataka kuiba download windows loader extreme (sio loader ni loader extreme)
ukishadownload open iache itamaliza kila kitu yenyewe pc itarestart mara kwa mara usiogope