Msaada jinsi yaa ku hack facebook | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada jinsi yaa ku hack facebook

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by C.T.U, Nov 10, 2011.

 1. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #1
  Nov 10, 2011
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,708
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  Wakuu habari zenu ebwana kuna mtu(mpenzi wangu) nataka nipate details zake ana naona kuna mabadiliko makubwa na kwa kuwa ni mjanja nahisi anachat na kidume kingine kwa facebook wakati mimi ndio namuweka town so nataka nimpige kibuti nikiwa na strong reason hawatumii simu coz kuogopa ninaweza kuwanasa bali wanatumia facebook nimechunguza anakuwa busy sana na facebook akiwa kazini ndio muda anaotumia kuwasiliana na huyo njemba so wadau nisaidieni jinsi ya kuhack account yake coz kama kuna mtu ana software ya kuhack naomba unitumie
  mimi ni white hacker sina madhara wakuu naomba msaada wenu coz hamjui ninavyoumia...
  Naumia sana
   
 2. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #2
  Nov 10, 2011
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  NiPM nikupe utade upo tayari kulipa fee?
   
 3. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #3
  Nov 10, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 973
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  This is not possible! facebook is not hackable as u think.. labda kama una access ya computer anayotumia na hana secured, updated antivirus..

  Unaweza install keylogger.. then umwache atumie wee. then ukija kuichukua itasave login records zote na zingine unapata mpaka picha

  inategemea na keylogger utakayotumia.. so apo then utaweza iouna email address na password yake! Mie na believe this is the only way.. But to

  HACK FACEBOOK.. not a chance :poa
   
 4. Eddy Love

  Eddy Love JF-Expert Member

  #4
  Nov 11, 2011
  Joined: Jul 25, 2011
  Messages: 12,880
  Likes Received: 6,324
  Trophy Points: 280
  Mbona njia zpo nyngi tena cmple u cn hack sm1 thru wbesite
   
 5. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #5
  Nov 11, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,079
  Likes Received: 1,816
  Trophy Points: 280
  huwezi ku hack facebook..... nilishangaa wale jamaa wa sugu vinega wanadai ccount imekuwa hacked no one can do that esp. TZ.... kama unataka ku login kwenye facebook ya mtu ... labda awe amesahau ku log out! sanasana wale watu wa automatic login ...
   
 6. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #6
  Nov 11, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Wanaume mnapenda kujipandisha pressure.

  Kama kakubadilikia sema nae habadili mwenendo wake na wewe umemchoka, timua weka mwengine.

  Usitafute visababu
   
 7. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #7
  Nov 11, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,416
  Trophy Points: 280
  Heheheheee hizi dotcom hizi! Pole sana ndugu.
   
 8. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #8
  Nov 11, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,079
  Likes Received: 1,816
  Trophy Points: 280
 9. Kimolah

  Kimolah JF-Expert Member

  #9
  Nov 11, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 327
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 60
  man - up bro!!! no need to hack, just let her know you doubt her ( may be you also have mipango ya kando), usimtafutie sababu kama unahisi huna future nae na huna mpango nae, mweleze tu ki-utu mzima.
   
Loading...