Msaada: Jinsi ya kuinstall ios 13 kwenye Iphone 6+

Lavit

JF-Expert Member
May 16, 2011
13,142
27,103
Wakuu naomba msaada jinsi ya kuinstall ios 13, nimepita mtandaoni naona taharifa zinanichanganya tu.
Kama kuna mtu alifanikiwa/kafanikiwa naomba maelezo, nimeona hii beta version naomba cons na prons zake maana hii device haisuport hii os.

Nb: Kuna mtu nilimkuta ana iPhone 6, na ina ios 13 ila naye alikuwa hajui ameiweka vipi!

Shukrani.
 
Kama mweli simu yako inaweza endana update hiyo ya IOS 13,omba sharing ya network yaan WIFI toka kwa mwenye simu ambayo network iko strong,then nenda GENERAL KISHA SOFTWARE UPDATE....network ikiwa strong itakuletea hiyo new version.....SISI WENYE ZAID YA ya simu tuna update ya version ya IOS 14.3
 
Napenda kukumbusha tu kwamba iPhone 6 plus kamili haina Update ya ios 13, labda kama una iPhone 6s plus. Ndo inajitahidi kufika ios 13.
 
Nafahamu mkuu, natafuta tu ujuzi wanadai kuna kujailbreak

Ooh hapo ni ku jailbreak then ndo unaanza process za kufanya hiyo kazi.

Kikubwa tu Uwe mtaalamu na haya mavitu uzuri wa hizi iPhone sio risk sana kama Android zetu.
 
Wakuu naomba msaada jinsi ya kuinstall ios 13, nimepita mtandaoni naona taharifa zinanichanganya tu.
Kama kuna mtu alifanikiwa/kafanikiwa naomba maelezo, nimeona hii beta version naomba cons na prons zake maana hii device haisuport hii os.

Nb: Kuna mtu nilimkuta ana iPhone 6, na ina ios 13 ila naye alikuwa hajui ameiweka vipi!

Shukrani.
Huwezi weka ios13. Huyu uliyemkuta inawezakana alikua tu na housing ya iphone 6 ila ni 6s. Or ame jailbreak kuweka tweaks za kuonekana kma ios 13 ila sio 13.

Kimsingi ni kwamba haiwezekani
 
Aisee kumbe..
 
Wakuu naomba msaada jinsi ya kuinstall ios 13, nimepita mtandaoni naona taharifa zinanichanganya tu.
Kama kuna mtu alifanikiwa/kafanikiwa naomba maelezo, nimeona hii beta version naomba cons na prons zake maana hii device haisuport hii os.

Nb: Kuna mtu nilimkuta ana iPhone 6, na ina ios 13 ila naye alikuwa hajui ameiweka vipi!

Shukrani.

Hiyo itakuwa 6s plus
Ila kwa hizi nyingine kama 6plus au 6plain nadhani inaishia 12.5.1 ambayo wameachia kwa ajili ya notification ya corona
 
Back
Top Bottom