Msaada: Jinsi ya kuongeza uwezo/speed ya internet kwenye laptop

shyja

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2013
Posts
410
Reaction score
67
Habarini wanajamvi, ninatumia macbook pro ambayo ni pre-installed na MAC OS X 10.8 (Mountain Lion) na ninatumia simu kama modem kwa ajili ya kutumia internet. Tatizo ni kwamba, kila napotaka kudownload vitu inatumia muda mrefu sana. Kwa mfano file la mb10 linatumia sio chini ya saa moja. Kuna software ya printer nilitaka kudownload leo yenye ukubwa wa mb zaid ya 500 afu kudownload inadownload 5kb/1sec. Kiukweli inachosha. Naomba msaada wa kuongeza speed. Samahan kuwachosha kwa maelezo marefu. Ahsanteni.
 
  • Swala la speed inategemeana na eneo ulilopo. Mfano maeneo mengi nje ya miji mikubwa hakuna coverage ya 3g, hivyo kwa hayo maeneo ukipata speed kubwa basi haizi 35kb/sec.
  • Ili angalau kidogo kuboresha speed ya internet basi hakikisha automatic update ya program zako na os umeweka off.
  • Kama upo eneo lenye 3g coverage ni bora utafute modem (ungetutajia model ya simu pia ingetupa mwanga kidogo)
 
mkuu natumia n70 pia nokia 3120classic
 
n.b laptop ina Wi-Fi ila huwa sifaham kazi za Wi Fi
 
  • Swala la speed inategemeana na eneo ulilopo. Mfano maeneo mengi nje ya miji mikubwa hakuna coverage ya 3g, hivyo kwa hayo maeneo ukipata speed kubwa basi haizi 35kb/sec.
  • Ili angalau kidogo kuboresha speed ya internet basi hakikisha automatic update ya program zako na os umeweka off.
  • Kama upo eneo lenye 3g coverage ni bora utafute modem (ungetutajia model ya simu pia ingetupa mwanga kidogo)

*1 & 3 zina kaukweli maana mi natumia simu kama modem, kwa 3g naweza kudownload file la 500mb within 20-25 min! na max nimejaribu 3gb for approximately 3-3.5hrs considering ups and downs of the network as well.
 
mkuu natumia n70 pia nokia 3120classic
21-08-2013 18-37-59_1.png
21-08-2013 18-39-12_2.png​
Conclusion

  • Nunua modem , hizo simu uwezo wake ni mdogo.
  • Tazama hiyo picha ya pili hapo kwenye mshale umepewa spidi ni kati ya 32 - 48kbs kwa gprs , hivyo kupata speed ya 5kb/s ni sawa.
  • Ushauri - Kama unanua modem chagua Huawei E303 (waweza kuzipata kwenye maduka ya voda au tigo), Usinunue zte ,wakati mwingine husumbua.
 
nashukuru mkuu.
 
Back
Top Bottom