Msaada jinsi ya kuweka link kwenye mada

Msaada jinsi ya kuweka link kwenye mada

kombo mzalendo

Senior Member
Joined
Dec 20, 2012
Posts
118
Reaction score
11
Jamani kwanza habarini wote,

Ningependa kufahamishwa jinsi ya kuweka link ya vitu mbalimbali kwani tatizo hili limesababisha baadhi yetu kuweka habari ambazo hazijakamilika humu.

Asanteni ..nawasilisha
 
Oky fanya hivi

1)

2)


Mwanzoni mwa link yako weka hiyo namba moja kwenye hapo jina weka jina la link ukianza na www. Den ukimaliza hilo jina la web funga kwa alama hii ] usiache nafasi den andika neno CLICK HERE halafu weka hiyo namba mbili kumbuka kuto acha nafasi.....

CLICK HERE usiache nafasi kaka
 
@danya,
siyo rahisi kueleweka kwa maelezo hayo tu! Nenda step kwa step
 
[ url=www.jamiiforum.com ] click here [/url]

Sasa hapo usiacha nafasi yoyote unavo andika hiyo kitu yoteeee.... na kwenye jamii forum hapo unaweza weka website unayo takaaaaaa hapo sasa nime elewekaaaa
 
Unavyocopy na kupaste kwa kutumia pc au laptop fanya hivyo
 
Asante nimeweza

Sent from my TECNO L9 Plus using Tapatalk
 
Back
Top Bottom