SIMON PETER MATOZI
Member
- Mar 22, 2023
- 23
- 21
Mwambie asilimu kwanza atumie kigezo cha kusilimu kumuacha.Habari ndugu zangu naitwa musa naishi kigoma nina lafiki yangu wa kike alifunga ndoa na mwanaume mmoja hv toka wameona mwanaume ajawah kushiriki tendo la ndoa na hana uwezo kabisa wameishi miezi 3 hali hiyo imefanya binti aludi kwao kwa sasa anamiezi 2 naamepata mchumba mwingine anawezaje kuvunja ndoa NAOMBENI USHAURI WAPENDWA
Mme wa mwanzo ni mkristo pia anae taka kumuoa mkristo vile vileMwambie asilimu kwanza atumie kigezo cha kusilimu kumuacha.
Walifunga ndoa kanisani? Aende kwa mchungaji atoe lalamiko lake,ndoa inavunjwa fasta ,kama kweli jamaa jogoo hawiki, bila jogoo kuwika hakuna ndoa hapoHabari ndugu zangu naitwa musa naishi kigoma nina lafiki yangu wa kike alifunga ndoa na mwanaume mmoja hv toka wameona mwanaume ajawah kushiriki tendo la ndoa na hana uwezo kabisa wameishi miezi 3 hali hiyo imefanya binti aludi kwao kwa sasa anamiezi 2 naamepata mchumba mwingine anawezaje kuvunja ndoa NAOMBENI USHAURI WAPENDWA
Asante ndugu kwa ushauri tafanya hivyo maana ni mdogo wangu kabisaWalifunga ndoa kanisani? Aende kwa mchungaji atoe lalamiko lake,ndoa inavunjwa fasta ,kama kweli jamaa jogoo hawiki, bila jogoo kuwika hakuna ndoa hapo
Wazo zuriMwambie asilimu kwanza atumie kigezo cha kusilimu kumuacha.
Ndoa ya kikristu ni balaa wakifuata utaratibu awatafute watu wote waliohudhuria siku ya ndoa wote waje kama walivyokuwa wamevaa kama walikuwa wajawazito waje na mimba zao.Habari ndugu zangu naitwa musa naishi kigoma nina lafiki yangu wa kike alifunga ndoa na mwanaume mmoja hv toka wameona mwanaume ajawah kushiriki tendo la ndoa na hana uwezo kabisa wameishi miezi 3 hali hiyo imefanya binti aludi kwao kwa sasa anamiezi 2 naamepata mchumba mwingine anawezaje kuvunja ndoa NAOMBENI USHAURI WAPENDWA
Hata kama ingekua ya kikatoliki kwa sababu hizo ,ndoa kwa maana ya tendo la ndoa na ndoa kamili hapo hakunaAsante ndugu kwa ushauri tafanya hivyo maana ni mdogo wangu kabisa
Mh niatarNdoa ya kikristu ni balaa wakifuata utaratibu awatafute watu wote waliohudhuria siku ya ndoa wote waje kama walivyokuwa wamevaa kama walikuwa wajawazito waje na mimba zao.
Ndoa ya kikristu ni balaa wakifuata utaratibu awatafute watu wote waliohudhuria siku ya ndoa wote waje kama walivyokuwa wamevaa kama walikuwa wajawazito waje na mimba zao.
HakikaWalifunga ndoa kanisani? Aende kwa mchungaji atoe lalamiko lake,ndoa inavunjwa fasta ,kama kweli jamaa jogoo hawiki, bila jogoo kuwika hakuna ndoa hapo
Shida mwanaume hataki kuja kila tunapo ongea nae wala kanisanHiyo ndoa kuivunja ni rahisi sana
Ndoa bila tendo la ndoa ni ndoa batili.
Kama hataki mzunguko mrefu Asiende kanisani.
Aende baraza la kata. Watawasikiliza wote wawili kisha watapewa cheti cha kata. Ambacho watapeleka mahakamani na kuivunja hiyo ndoa kisheria. Ndani ya mwezi mmoja tu kila kitu kinakamilika
Kanisani watawazungusha zungusha sana
Ulimaanisha 23:59 au maana yake hapo siku mpya imeshaanza tayariTena isizidi saa 00..59 usiku tendo liwe kimefanyika kama wote mko sawa..ili baraka ile isivuke siku ya kesho...
Yess...asante kwa kunirekebishaUlimaanisha 23:59 au maana yake hapo siku mpya imeshaanza tayari