Wakuu nimesikia hii kitu inawezekana na Downloading speed inakuwa kubwa
lakini kila nikijaribu basi Huwa zote hazifanyi kazi, kwa anayefahamu naomba maelekezo
zaidi.

achana na huyu virus Dispatch anakula RAM ya maana yaani computer yako kama ni sio Core i3-7 unaweza ujute kwa nn uliweka afu ile version ya 7 ni majanga kabisa ukiweka hauwezi Uninstall kwa control panel kama tufanyavyo program za kawaida....
Mm niliweka nikajaribu ku uninstall ikakataa kutoka....nikajaribu REVO uninstaller nayo kama ikadunda nili opt kushusha window chini ili nitupilie mbali huyu mdudu...
Ma wala usitegemee extra ordinary speed na kama haufanyi kwenye Mitandao ya simu i.e namaanisha kama haupewi vifurushi vya bure hautoifaidi hii kitu itaishia kuifanya PC yako ku-misbehave
Nunua modem yenye 21Mbps au 28Mbps au 42Mbps
Nunua modem yenye 21Mbps au 28Mbps au 42Mbps achana na huyu virus Dispatch anakula RAM ya maana yaani computer yako kama ni sio Core i3-7 unaweza ujute kwa nn uliweka afu ile version ya 7 ni majanga kabisa ukiweka hauwezi Uninstall kwa control panel kama tufanyavyo program za kawaida....
Mm niliweka nikajaribu ku uninstall ikakataa kutoka....nikajaribu REVO uninstaller nayo kama ikadunda nili opt kushusha window chini ili nitupilie mbali huyu mdudu...
Ma wala usitegemee extra ordinary speed na kama haufanyi kwenye Mitandao ya simu i.e namaanisha kama haupewi vifurushi vya bure hautoifaidi hii kitu itaishia kuifanya PC yako ku-misbehave
Hiyo link hapo juu niliyotoia ni latest version v8 na activator yake iko very clean na utaifurahia zaidi iwapo unatumia windows 7 au 8 kwa kufanya Dial up connection.
- Definately no !, haya maelezo uliyotoa ni ya upotoshaji kabisa.
- Yamkini PC yako ilikuwa na malware au shida nyengine
- Nimenunua lifetime key kwa USD 56 baada ya hii version 8 kutoka,[wakati huo crack au activator zilikuwa bado, only v7 ndio zilikuwepo ingia JF utaiona ] na hii nikutokana na kuridhika na ufanyaji wake wa kazi. Na pc ninayotumia ni DuoCore yenye RAM ya 2 GB
- Na kwa sasa nataka niwe naunga hadi connection 6 [yess sita ] kwa mara moja
- Nne wireless connection [anagalia picha ya wireless device nilizo agiza ]
- Mbili ni modem za kawaida 7.2 mb
![]()
![]()
- Hiyo modem haitosaidi
- Hebu fikiri njuwa upo eneo amabalo speed haizi 128 kbps , hiyo modem itakusaidia vipi?
- Mfano hai ni mimi mwenye eneo nililopo kwa sasa hiyo ndo speed niipatayo Hauoni kuwa connectify dispatcher Ndio mkombozi [hapa chukua hiyo 128 kbps zidisha kwa 6 ] kama plani yangu ilivyo.
Well said mkuu, mi mwenyewe natumia pc ya 2GB RAM na ni dual-core still dispatch inarun smoothly bila matatizo
Basi mm pc yangu Intel inside processor with 2GB RAM hiyo makitu inaifanya pc imisbehave ila pia inategemea wewe ukiwa kwenye net unakua umefungua program gani kwenye task Bar nammanisha running applications kwa huo mda...
Tusiongee vitu hewani piga CTRL+ALT+DELETE ifungue TASK MANAGER wakati DISPATCH ina run afu nenda processes afu piga screenshot weka hapa tuone consumption yake ya MEMORY na assume kama na Run Chrome,Mozilla hapo hapo na apps nyingine zinazo kula Memory nambie hatima ya hiyo PC
Au install any software ya ku Optmize battey ya PC utaona itakwambia curplit wa hilo ni nani kila ukitaka ku-optimize utaoneshwa dispatch ndo atapelekea battery ku run down akiwa wa kwanza...
Nipe anaysis hapa njunwa wamavoko![]()
Hizi ni screenshot, moja ni minimum usage na moja ni maximum usage ya dispatcher
Naweza sema probably PC yangu ilikua na matatizo mengine...
Lakini najua nayo ilikua contributory factor kama picha ya Mkuu "Waheed sunday" inavyoonesha consumption ya CPU ina value sana kama una run applications nyingi...
Tatizo jingine ambalo siwezi kumshauri mtu kutumia ni kwamba hii App inafanya conflicting na applications nyingine mfani kipindi na Install ilinambia ni uninstall Hotspotshield VPN....
Zaidi ya yote kwa zile njia zetu za vichaka huyu Dispatch hafai kabisa nakumbuka version za nyuma zilikua zinablock PD na TG....
hivo mleta mada fanya Analysis ya BENEFIT TO RISK RATIO uone una fall category gani
nimeisoma mada kwa makini sana.. n lengo langu ilikuwa ni kujua kama kwenye TG itafanya kazi vyema.. pc yangu ni HIGH END na ina 16GB ram AMD A10 5750 richland APU RADEON dual graphics 6GB, harddisk ni 640 gigz... natumai nitarun vizuri hii prog.. Mwl.RCT kwa hii program nikilink modem mbili nitaweza kuongeza download na upload speed kwa ujumla maana nipo kwenye mchakato wa kufungua channel youtube kuhusu tech.. pia shukran njunwa wamavoko![]()
- Hapo kwenye Bold labda kama unazungumzia Version 4 au 5
- Ila siyo hii ya sasa
- Hebu jiulize nataka kufanya Connection 6 - Je laini zote sita naweka bundle?
Sawasawa mkuu.. nilikuwa naomba enlightment kidogo kuhusiana na hizi antena.. zinainteract na modem directly au zinawork zenyewe kuvuta net katika specific area.. itakuwa msaada mkubwa sana ukinisaidia kuelaborate kidogo (sijawa mvivu ila google wanaleta various models na sio maelezo yaliyonyooka na direct thats y im askin) @njunwa wamavokoKwa kuongeza mnofu kama una Value Service Quality in exchange of money basi nakushauri Tafuta modem za kisasa zenye Kuweza kutumia MIMO Antenna,TC9 Antenna na CRC9 Antenna hautojutia na utapata spped nzuri na kwa modem moja na kwa mitandao ya 3G mpaka utaisi unatumia 4G vile
The cheapest antenna goes at 7$ and the best for me in price but with High gain of 35dBi costs 20$
![]()
However unaweza kutengeneza your local antenna kwa kutumia Aluminium cases
Hapa mkuu Shaffin Simbamwene atasaidia na atakuwekea hata picha ukipenda
nimeisoma mada kwa makini sana.. n lengo langu ilikuwa ni kujua kama kwenye TG itafanya kazi vyema.. pc yangu ni HIGH END na ina 16GB ram AMD A10 5750 richland APU RADEON dual graphics 6GB, harddisk ni 640 gigz... natumai nitarun vizuri hii prog.. Mwl.RCT kwa hii program nikilink modem mbili nitaweza kuongeza download na upload speed kwa ujumla maana nipo kwenye mchakato wa kufungua channel youtube kuhusu tech.. pia shukran njunwa wamavoko
natumai you guys mtanipa some help and we will take TZ to the next level of Tech
Sawasawa mkuu.. nilikuwa naomba enlightment kidogo kuhusiana na hizi antena.. zinainteract na modem directly au zinawork zenyewe kuvuta net katika specific area.. itakuwa msaada mkubwa sana ukinisaidia kuelaborate kidogo (sijawa mvivu ila google wanaleta various models na sio maelezo yaliyonyooka na direct thats y im askin) @njunwa wamavoko
nimeisoma mada kwa makini sana.. n lengo langu ilikuwa ni kujua kama kwenye TG itafanya kazi vyema.. pc yangu ni HIGH END na ina 16GB ram AMD A10 5750 richland APU RADEON dual graphics 6GB, harddisk ni 640 gigz... natumai nitarun vizuri hii prog.. Mwl.RCT kwa hii program nikilink modem mbili nitaweza kuongeza download na upload speed kwa ujumla maana nipo kwenye mchakato wa kufungua channel youtube kuhusu tech.. pia shukran njunwa wamavoko
natumai you guys mtanipa some help and we will take TZ to the next level of Tech
Kwa kuongeza mnofu kama una Value Service Quality in exchange of money basi nakushauri Tafuta modem za kisasa zenye Kuweza kutumia MIMO Antenna,TC9 Antenna na CRC9 Antenna hautojutia na utapata spped nzuri na kwa modem moja na kwa mitandao ya 3G mpaka utaisi unatumia 4G vile