Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,757
- 2,388
hizo modem n zipi hizo...?
je ni hizi huawei E173, E303, E153
Ziko nyingi n hamna hata moja utaipata bongo e.g E3131
hizo modem n zipi hizo...?
je ni hizi huawei E173, E303, E153
Njunwa tutazipate hizo modem hapa bongo? Au wewe uliipataje ya kwako?
Ziko nyingi n hamna hata moja utaipata bongo e.g E3131
Nahitaji hii model ya huawei coz ina speed safi sana.. Nina elfu 50kwa yeyote anayeuza tafadhali tuwasiliane..
Kajaribu M city kuna kipindi walikua na 14Mbps modem na walikua wanauza bei sawa na bure japo kwa promo na kwa 15k hivo kwa bei isio ya promo utakuta wanakupa kwa 30K
Alternatively Posta kuna maduka wanauza D-link modems
N:B Kuwa makini kuna Dlink ya 7.2Mbps na 21Mbps sasa hapo tumia common sense kabla ya kununua hakikisha kwanza speed kwenye boksi...
Lkn hazina matundu ya AntennA or less Agiza kutoka eBay utapata mpaka kwa 25$ i.e 40K
Mkuu hizi zenye option ya antenna hizo antenna unapatajeNilikua nazo mbili moja kutoka eBay ywnye kasi ya 21Mbps kwa sasa ninayo ya 43Mbps lkn ina support mpaka 4G iwapo uta set LTE ONLY e.g kama unatumia Smile...
Hii nilichukua china mwezi ulopita
Mkuu hizi zenye option ya antenna hizo antenna unapataje
Zote ziko eBay tafuta tc9,crc9 Antena...MIMO Bei kubwa sana
Mwl.RCT hii HUAWEI E5331 umepata kwa bei gani na ktk kampuni gani maana niliitaji mkuu
- bei yake ni USD 66.99
- Nimenunua AMAZON | Amazon.com: Huawei E5331 21 Mbps 3G Mobile WiFi Hotspot (3G in Europe, Asia, Middle East, Africa & T-Mobile USA): Cell Phones & Accessories
- Ila waweza ipata pia ebay
- KARIBU
Mkuu tujuze hiyo modem niya Kampuni gani na ni model gani maama kujua antena pekee haitoshi.
Je unatumia device gani?Owkei nimenotice something tarehe ya mwanzisha thread inaonyesha 1970 is that possible
@C6 Mwl.RCT chief-mkwawa Njunwa wa mavoko
siku hizi kwa hizi core i5 na i7 huwezi kukutana na spcs ya 2.5ghz sanasana utakuta ni 1.7 with turbo up to 3.0ghz e.t,cJamani sorry kwa kwenda nje ya topic....kwa mtu mwenye core i5 au i7 processor pinless quadcore naomba tufanye biashara... Hata kama ni used ill appriciate it.. Iwe more than 2.5ghz,, quad core na iwe pinless..
ok mkuu nashukuru pia kwa link hapo juu ya connectify v8 iko sawa maana nilikuwa natumia v7 ilishanizingua v8 walinitaka ninunue pro kwa $19.50 hii imework perfectly thanks
- bei yake ni USD 66.99
- Nimenunua AMAZON | Amazon.com: Huawei E5331 21 Mbps 3G Mobile WiFi Hotspot (3G in Europe, Asia, Middle East, Africa & T-Mobile USA): Cell Phones & Accessories
- Ila waweza ipata pia ebay
- KARIBU
siku hizi kwa hizi core i5 na i7 huwezi kukutana na spcs ya 2.5ghz sanasana utakuta ni 1.7 with turbo up to 3.0ghz e.t,c
Mie ninayo Acer Aspire S7-391 core i5 nilinunua online kutoka US nilinunua $700+$74 shipping cost mpaka tz lkn i7 inenda mpaka $1000Sawasawa kaka.. Kuipata itanicost how much at most i7 ikikosekana i5.. Maana kuna card naisubiri niassemble tower ya gaming..