Msaada: Jinsi ya kutuma private message

Msaada: Jinsi ya kutuma private message

Itezi

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2014
Posts
389
Reaction score
95
Habari zenu wapendwa!!!

Kwa muda mrefu natafuta namna ya kutuma pm but nashindwa niingie wapi.

Najua almost woote humu ndani ya nyumba mnajua, naomba nami mnisaidie nijue tafadhali.

Thanks in advance.
 
Hapo chini kuna sehemu imeandikwa (send PM)anzia hapo then mengine utayafahamu baadae.
 
Shit!!!!!
We nani kwambie mie ni "K"?
Kama huna uhakika na jinsia ya mtu then tumia "MKUU"

So sorry MKUU!!!
,
sikutegemea kukukera nimejifunza kitu (kutumia neno mkuu)

Nisamehe bure Mkuu!!!! but asante umenisaidia kwa kiasi nimeelewa.
 
haa haa hah pole sana mkuu naona amechanganywa na avatar yako

Ni kweli kabisa mkuu ni avator ndiyo iliyo nichanganya,

Kawori nashukuru kwa kiasi umenisaidia kuomba radhi kwa mkuu.
 
So sorry MKUU!!!
,
sikutegemea kukukera nimejifunza kitu (kutumia neno mkuu)

Nisamehe bure Mkuu!!!! but asante umenisaidia kwa kiasi nimeelewa.
Mkuu umenichekesha sana. Habari ya Itezi mkuu!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom