Msaada jinsi ya kutengeneza wireless charge

Inabidi uwe na ABC za electrical/ electronics.
Kinachofanyika hapo ni induction. Iyo charger inafanya kazi kwa mfumo kama Transformer. Kunakuwa na coil mbili. Primary na Secondary. Primary side inakuwa connected outlet socket ma upande wA secondary unakuwa konected na Simu.

Pia lazima ujue katika transformer tunadeal na AC current tuu na sio DC.

Pia kumbuka vifaa vya electronic vinatumia DC Current ivyo inabidi uwe na njia ya kufanya ku badiri current toka AC kuja DC (Rectification)

Hapo nimeona umezungusha coil kwenye waya wau upande wa USB na upande wa Jack ya simu ukitegemea umeme uvuke upande mmoja kwenda mwingine kwa njia ya induction au magnetism. Hicho kitu hakiwezekani sababu hapo unacheza na umeme wa DC ivyo inabidi ubadirike kwenda AC current ili uwe umefanya kitu kama transformer. Pia pia lazima ujue kwa umeme huo mdogo, magnetic fields haziwez safiri kwa umbali mrefu ivyo unatakiwa uwe na kitu kama iron au vibati vya chuma vitakavyo safirisha magnetic fields btn Coils au utafute ule mkaa wa kwenye Redio za zamani za analogy zinazotumia Variable capacitor au tunaita Genge kutafuta station.

Kwa kifupi hapo kuna mambo yanafanyika kwa kufuata formulas fulani za umeme ili kuleta matokeo channya.

Nimependa aidia yako pia nakusifu kwa uthubutu maana umekata hadi USB yako

Kama una maswali utaniambia. Ili nikucholee na mchoro nini ufanye ili ufanikiwe
Huwa natumia sumaku ili kuwezesha coil kupokea.... Au kuna aina maalum ya magnetic inayotakiwa!?
 
Nadhani simu zinazochajiwa na wireless charger huwa zina receiver ndani yake kwa ajili ya kufanya mawasiliano na hiyo charger. , sasa ww unataka kubuni wireless charger je simu yako ni ya kisasa?? (Namaanisha ina receiver inside oof it??) . pia uwe makini video nyingi youtube ni za uwongo lengo lao ni kukuvutia tu uangalie ili wapate mshiko
Unaposema simu ya kisasa.... Nadhani smartphones ndo unaongelea! Na katika jaribio langu nimekuwa nikitumia simu za aina hiyo mkuu
 
Hiyo wireless charger si moja ya technology mpya kabisa,sasa wewe ndo unataka uitengeneze kienyeji?
Naonekana kama nachekesha eehh!? , ni technology ambayo si ngumu kama una idea na electronics! Ikanivutia kujaribu icho kitu... Ila skupata matokeo chanya ndo mana nkaomba msaad huku mkuu
 
Dah..kama huna ujuzi usijaribu unaweza unda killipuzi bila kujua ukaleta maafa,mwaka mmoja enzi za mwinyi nilijarbu kuchaji dry cell 4 za national kwenye umeme wa ndani wakati baba yupo job,aisee kilichotokea ni hatari mkubwa zile betr zili bust na kun'goa body na bati 2 kwa kua tulikua karibu na kituo dkika 0 tu wakawa around baada ya ile mshindo ha ha ha balaa,mkuu usijaribu kama kitu ukijui.
 
Inabidi uwe na ABC za electrical/ electronics.
Kinachofanyika hapo ni induction. Iyo charger inafanya kazi kwa mfumo kama Transformer. Kunakuwa na coil mbili. Primary na Secondary. Primary side inakuwa connected outlet socket ma upande wA secondary unakuwa konected na Simu.

Pia lazima ujue katika transformer tunadeal na AC current tuu na sio DC.

Pia kumbuka vifaa vya electronic vinatumia DC Current ivyo inabidi uwe na njia ya kufanya ku badiri current toka AC kuja DC (Rectification)

Hapo nimeona umezungusha coil kwenye waya wau upande wa USB na upande wa Jack ya simu ukitegemea umeme uvuke upande mmoja kwenda mwingine kwa njia ya induction au magnetism. Hicho kitu hakiwezekani sababu hapo unacheza na umeme wa DC ivyo inabidi ubadirike kwenda AC current ili uwe umefanya kitu kama transformer. Pia pia lazima ujue kwa umeme huo mdogo, magnetic fields haziwez safiri kwa umbali mrefu ivyo unatakiwa uwe na kitu kama iron au vibati vya chuma vitakavyo safirisha magnetic fields btn Coils au utafute ule mkaa wa kwenye Redio za zamani za analogy zinazotumia Variable capacitor au tunaita Genge kutafuta station.

Kwa kifupi hapo kuna mambo yanafanyika kwa kufuata formulas fulani za umeme ili kuleta matokeo channya.

Nimependa aidia yako pia nakusifu kwa uthubutu maana umekata hadi USB yako

Kama una maswali utaniambia. Ili nikucholee na mchoro nini ufanye ili ufanikiwe
Watu kama nyie ni hazina kubwa.Elimu yako inaonesha una kitu cha ziada.Lazima ukubali kazi za wengine.Nimekubali mawazo yenu ni endelevu.
 
Huyu jamaa sio kwamba anataka kutengeneza wireless ila anataka kucharge simu bila ya nishati ya tanesco.
 
Dah..kama huna ujuzi usijaribu unaweza unda killipuzi bila kujua ukaleta maafa,mwaka mmoja enzi za mwinyi nilijarbu kuchaji dry cell 4 za national kwenye umeme wa ndani wakati baba yupo job,aisee kilichotokea ni hatari mkubwa zile betr zili bust na kun'goa body na bati 2 kwa kua tulikua karibu na kituo dkika 0 tu wakawa around baada ya ile mshindo ha ha ha balaa,mkuu usijaribu kama kitu ukijui.
Ni kweli.... Lkn Hakuna aliyezaliwa na ujuzi, wote walijifunza! Nimesikitika katika hilo tukio lako
 
Ndio nilivyokuelewa kwa kutumia picha yako. Maana yake umekata usb na kufunga kopa waya kama vile coil.
Pale kuna sumaku na kichwa cha charge kinachoingia kweny Umeme... Ingawa pichan havipo
 
Huwa natumia sumaku ili kuwezesha coil kupokea.... Au kuna aina maalum ya magnetic inayotakiwa!?
Usitumie sumaku. Cos sumaku tayar ina induction. Tumia iron ambayo inapitisha sumaku ambapo baada ya koil kupokea umeme ndo itaform usumaku. Kitu unacho kifanya ww unatengeneza Microphone au spika.
 
Kjn hakuna hiyo kitu according to laws za conservation of energy uwezi kuconvert umeme kutumia wireless ndo maana hadi sasa tanesco bado wana tumia nguzo na elewa kuwa magnetic induction inaoperate kwenye AC only na sio kwenye chaji ya cmu
 
Back
Top Bottom