Yusomwasha
JF-Expert Member
- Dec 5, 2014
- 2,092
- 838
wakuu naomba kwa anayejua jinsi ya kutengeneza mkaa kwa kutumia kuni ndogondogo za hapa nyumbani au mkaa ule wa moto unaobaki jikoni anifundishe tafadhali aweke hapa tuweze nufaika wote asanteni sana