Msaada: Jinsi ya kutengeneza bomu

Msaada: Jinsi ya kutengeneza bomu

Kuna MTU anatafta kitu hapa.......mtoa mada unataka la kienyeji au la kisasa? Sema mission yako ili nikusaidie....

tuanze na la kienyeji for begginers hayo ya kisasa nafkiri ni kwa advanced level ila itakua poa ukinifahamisha chuo special kwa hayo makitu
 
Taarifa hizi zitaenda kwa wanaohusika halafu utapata msaada. Wataona ni kwa jinsi gani watawasiliana na Jf, ili kupata taarifa zako na kuzifanyia kazi zaidi
 
Taarifa hizi zitaenda kwa wanaohusika halafu utapata msaada. Wataona ni kwa jinsi gani watawasiliana na Jf, ili kupata taarifa zako na kuzifanyia kazi zaidi

hivi mkuu kila mwanasayansi na mwanateknolojia lengo lake ni kufanya ubaya kwa jamii? hebu nijibu hilo swali kwanza
 
za saa hizi wanajamvi
rejea kichwa cha habari hapo juu ningependa kufahamu jinsi ya kutengeneza bomu la kutupa

asante

Sina utaalamu sana lakini kama utaweza kujimwagia Mafutal aina ya Petrol mwili mzima kisha washa kiberiti njiti ikiwaka itupe juu utaona namna jinsi ulivyoumba Bomu.

NB. Majaribio haya yafanyike jirani na Makaburi.
 
hahahaha imenibidi nicheke kwa nguvu
 
Ukiona hivi ujue jamaa katendwa!!!!

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
za saa hizi wanajamvi
rejea kichwa cha habari hapo juu ningependa kufahamu jinsi ya kutengeneza bomu la kutupa

asante
piga namba hii hapa atakuelekeza namna ya kutengeneza bom. nimeipm
 
za saa hizi wanajamvi
rejea kichwa cha habari hapo juu ningependa kufahamu jinsi ya kutengeneza bomu la kutupa

asante

Mkuu nenda startv wanafundisha, kipindi kinaitwa pika bomu!! Mabomu ya aina zote
 
za saa hizi wanajamvi
rejea kichwa cha habari hapo juu ningependa kufahamu jinsi ya kutengeneza bomu la kutupa

asante

Wee rijamaa, nipe namba yako ya simu nikuelekeze wapi kilipo Chuo changu cha kutengeneza milipuko ya aina mbali mbali.
 
mi nashangaa why mtu akitaka ufahamu wa utengenezaji wa vitu nyeti kama hivyo anahisiwa vibaya sasa huko mashuleni wanafunzi wanafundishwa sayansi ili iweje? au watanzania wote tuwe wanamuziki? tuondoeni fikra mbaya wakuu I love tanzania, i love teknology
 
Back
Top Bottom