Kitaeleweka
JF-Expert Member
- Jul 30, 2012
- 394
- 88
Wakuu nategemea kupata galaxy s4 mpya hivi karibuni ila nitawezaje kuitofautisha na zile clone naomba kusaidiwa tofauti zake ukiachilia bei tafadhali
Wakuu nategemea kupata galaxy s4 mpya hivi karibuni ila wasiwasi wangu ni jinsi ya kutofautisha yenyewe na zile clone naomba kusaidiwa tofauti zake ukiachilia bei tafadhali
Me nilijua moja kwa kuangalia vitu vihi internal space ya simu ubora wa camera lazima camera ya S4 iwe na quality nzuri sana aina za mitandao ya internet original ina 3G na 4G hivi ndo vitu vilivyonisaidia kuilinganisha Samsung original na Feki na ile ilikuwa fake niliyotaka kununua nikaachana nayo vitu vyote unaweza kuvipata GsmArena na kuviangalia coz ile code ya kutest Samsung ninayo ijua mimi *#0*# inakubali hata kwenye hizo clone
Angalizo
kuzitambua hizi Simu za Samsung smartphone zinahitaji umakini mkubwa sana
Wadau wengine watakuja kuongezeaaa shukrani!