Msaada jinsi ya kupunguza tumbo

Hazard CFC

JF-Expert Member
Apr 7, 2015
16,620
38,652
Mambo zenu wakuu...naomba mnipe njia mbadala zakupunguza tumbo kwa mwanamke bila mazoezi..maana mke wangu hataki kabisa mazoezi
 
Mwambie anywe maji sana,kwa siku mpk lita nne,coz ukinywa maji sn mda wa kula unakula kdg tu coz umeshiba maji kabla ,so uo ndo utakua mwanzo wa journey yake ya kupunguza tumbo..
Aache kabisa vyakula vyenye mafuta..
Aache vyakula vya sukarsukar
eat little chew much.inategemea pia ulaji wa mtu anavokula.mtu ukiona anakula sana mara nyng utafunaji wake sio mzuri.mshauri ale kwa kutoa njaa ale kias tu na sio kula kwa kushiba au kuvimbiwa. ale sana mboga mboga.
usiku asile chakula kizito ,coz mfn akimaliza kula na kwenda kulala usagaji wa chakula tumbon utakua m,bovu..so inasababisha pia belly fat.kama akitaka kula basi ale three to four hours kabla hajalala.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom