News Alert: Msaada jinsi ya kupata VISA ya panama

KABIDI BODO

Senior Member
Jan 19, 2017
184
252
Wakuu naombeni anaefahmu namna ya kupata VISA ya Panama maana hawana ubalozi nchini kwetu Tanzania
 
Ni vyema kufika wizara husika na kuuliza taratibu zikoje,nadhani ni wizara ya mambo ya nje
 
  • Thanks
Reactions: bbc
Back
Top Bottom