Msaada: Jinsi ya kupata password ya MS Word Cracked | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada: Jinsi ya kupata password ya MS Word Cracked

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by tindikalikali, Sep 10, 2012.

 1. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #1
  Sep 10, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  Wakuu habari!

  Nimedownload hii kitu lakini jinsi ya kupata password nimeshindwa na nadhani sababu ni internet yangu iko down..
  naomba msaada kwa atakayeweza kuipata, maelezo haya hapa chini.

  Get Your Password:

  http://passwget.com/get/index.php?file=65004  Your File ID: 65004

  1) Visit the link above (copy and paste to your webbrowser)
  2) Enter your File ID & Continue
  3) Follow the steps (choose an option)
  4) Enjoy!


  This is a new system to keep away Hackers, Spammers and Bots!


  ~RelEaZe TeAM~

  Thank you for downloading: Microsoft Office 2012 CRACKED
   
 2. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #2
  Sep 10, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,760
  Likes Received: 7,045
  Trophy Points: 280
  mnh yani nkiangalia juu juu tu naona kama umeingizwa chakike hao jamaa lazma utakuta wamekuekea survey mbele ya safari wapate hela.

  Sjawah skia microsoft office 2012 bali ipo 2010 na 2013
   
 3. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #3
  Sep 10, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  mh kazi kweli...vipi unaweza nipa link ya kudownload hiyo ya 2010?
   
 4. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #4
  Sep 10, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,760
  Likes Received: 7,045
  Trophy Points: 280
  dah madude yenyewe ya torrent haya kijana we cha muhimu tafuta link kabla hujadownload soma comments kwanza watu wamefanikiwa? Kama wamefanikiwa download kama hawajafanikiwa achana nalo.

  Labda kama kuna mdau analo
   
Loading...