Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,786
- 35,761
Sizani kwa kweli japo possiblity ipo though ni ndogo!! mpaka ushapigwa pichwa maana umekamilisha mlolongo wote! unless kama kuna makosa!!Hivi eti ombi pia linaweza kukataliwa endapo ushalipia pesa na wamekupiga picha tayari na fingerprints zako wamechukua?