Msaada: Jinsi ya kupata Passport kwa uharaka

Wewe umebahatika sisi wengine wametaka vyeti vya kuzaliwa vya wazee wetu waliokufa 1959, mwisho wakatupa kiswahili cha kuzunguka mbuyu , huku na kule zikatutoka 50 000,

Hii ndiyo Serikali ya CCM
Ni kweli umri huo hawana vyeti,kinachofanyika ni kutengenezewa affidavit then cheti,ni issue ndogo tu mwanasheria anamaliza mbona,elf10 tu unampa labda! Wala huhitaji kuhangaika!
 
Weka laki mbili yako mfuko wa shati, ukifika usiwe siriaz mpaka watu wakuogope waone wewe ni usalama/takukuru. Kuwa mcheshi, ukifikia zamu yako mwite muhudumu mwambie nna shida nacho ndani ya wiki hii hii!! alafu mtoe buku kumi mwambie akanywe maji.
Baada ya hapo jidai unalalamika kwamba kikichelewa imekula kwako tehn muombe msaada akufanyie fasta na umwambie atapata kitu kidogo!! ukiweza mpe cash kabisa alafu mpe namba yako ya simu!!

Baada ya hapo kaa eneo hilo hilo awe anakuona!!

Ndani siku nne utapigiwa simu uje uchukue kadi yako!! Ukijidai mkono mfpi jiandae kuambiwa mashine ya kuprint imesha wino mpaka waagize urusi ndio waje wakuprintie passport yako!!
Hahaaa,nimecheka!
Mi nilifuata taratibu za kawaida kabisa,za 150,ila sikufanya Mimi,nilienda uhamiaji palepale mkoani huko,hiyo ofisi inayohusika ktk story kumbe duh tunafahamiana kiasi,nikasema hapahap nikamwambia shida yangu!huyo mtu pale uhamiaji ana komputa yake ,ndo alinifanyia kila kitu,akajaza hizo form nikalipa 20,akaprint mwenyewe,akamcheki mwanasheria chap akatengenez affidavit ya baba na mama,faster ikaletwa hapohapo ofisini,si unajua mikoani sio km dar ofisi zipo jiranijirani!
Baada ya kuprint tukakaa ofisini hapo akanisaidia kujaza chap,nikalipa hiyo 130 iliyobaki! Basi akaniambia njoo kesho tukamilishe!
Kweli kesho yake nikaenda nikaingizwa kwenye picha,fingerprints mchezo ukawa umeisha! Sa kwa style hii utaacha kumpa mtu hela!? Niliona aibu aisee nikampa 50 elf...nikasepa,14 days passport tayari!si kuhangaika chochote,sikutaka kufanyia dar mambo mengi huku na sikuwa na haraka nayo pia
 
Ulikua na bahati mkuu!!
 
Back
Top Bottom