Msaada kudownload Games kwa ajili ya Play Station 2

Qifrishy

Senior Member
Joined
Jul 6, 2014
Posts
169
Reaction score
42
habari wakuu.

Naomba msaada wa jinsi ya kudownload games za play station 2 kwa ajili ya kuziweka kwenye flash na kuchezea kupitia flash.

program ya kusupport games kucheza kutoka kwenye flash ninayo tayar kwenye memory card ila shida yangu ni michezo tu.
ahasanteni
 
habari wakuu.
Naomba msaada wa jinsi ya kudownload games za play station 2 kwa ajili ya kuziweka kwenye flash na kuchezea kupitia flash..
program ya kusupport games kucheza kutoka kwenye flash ninayo tayar kwenye memory card ila shida yangu ni michezo tu.
ahasanteni

People still play PS2 games, Geez!! It's a 1999 platform and already discontinued... Just focus that energy to get a PS3 emulator and games
 
unaweza nisaidia nilicho uliza? au unaleta mbwembwe tu.
 
habari wakuu.

Naomba msaada wa jinsi ya kudownload games za play station 2 kwa ajili ya kuziweka kwenye flash na kuchezea kupitia flash.

program ya kusupport games kucheza kutoka kwenye flash ninayo tayar kwenye memory card ila shida yangu ni michezo tu.
ahasanteni

Google gametorrents zipo games za pc, ps2, ps3, xbox,& wii. Na kuziweka kwa flash tafuta usb utility ni software ya ku rip games kwenye flash.
 
Kama una uzoefu wa kudownload kwa kutumia torrents ni rahisi unachotakiwa kukifanya ni ingia kwenye site inayoprovide torrents download mfano:::the pirate bay hapo ukifungua kwenye searching category utakuta kuna sehemu imeandikwa PSX hapo ndipo utakapopata hizo games unazozihitaji au kwa urahisi zaidi kwenye search box andika PS2 then results zitakazokuja zitajumuisha hadi games za ps2
 
hiyo gametorrents ni torrent site ina games tu ndo nimeona rahisi kwa huyu mtu.
 
Kama una uzoefu wa kudownload kwa kutumia torrents ni rahisi unachotakiwa kukifanya ni ingia kwenye site inayoprovide torrents download mfano:::the pirate bay hapo ukifungua kwenye searching category utakuta kuna sehemu imeandikwa PSX hapo ndipo utakapopata hizo games unazozihitaji au kwa urahisi zaidi kwenye search box andika PS2 then results zitakazokuja zitajumuisha hadi games za ps2

shukrani mkuu kwa mchango wako.
 
cheza wewe uliyezinduka kwani lazima na mi nicheze.

The whole world has moved from a 15yrs old console, au mwenzetu bado unatumia Win98, No offense but I hold people in this forum to high standards, if u can come here and start a thread then you are more than knowledgeable to know the PS2 is not something you should be putting effort on now.
 
kwa io we una PS 4 au una nintendo Wii U sio.
maana umekazania PS 2 yangu wee sawa ya zaman haya wee endelea kucheza Xbox One Mr.Latest.
 
Nashida na sony playstation[ps3]500GB Black super slim.
Hadi inifikie bongo.. Itakuwa kwa how much? #taxes inclusive

Madukani hapa bongo wanauza 700k na kuendelea, tafuta used zipo nzuri tu kuanzia 300k mi nilinunua used 250k slim, ilikuwa 160gb na 1 controller
 
Nashida na sony playstation[ps3]500GB Black super slim.
Hadi inifikie bongo.. Itakuwa kwa how much? #taxes inclusive

hio kaz kubwa kaka maana yategemea na huyo seller kama anaship huku kwetu kwanza, then mfanye makubaliano na kama anatumia posta zinakuja risk nyengine tena. hizo za gb500 naziona hadi dola 269 amazon
 
Back
Top Bottom