Msaada jinsi ya kulipia tangazo facebook

siyumwe

Senior Member
Apr 10, 2017
152
134
Habari za mda huu wakuu naombeni msaada wenu katika hili,nina page facebook na leo nilikua najaribu ku boost post yangu ili tangazo langu liwafikie wengi zaidi na sehemu zenyew ni hizi mbili nimeshindwa kujua natakiwa nijaze nini ni kwenye experition date na security code
Nb najaribu kupandisha picture inagoma natumia visa card bank ya abc
 
Jaza card number na ccv namba ziko tatu na expire date imeandikwa kwenye card yako mf 10/20
 
Ccv no ndo zinakaa wap mkuu sory kadi yenyewe ndo nimeipata leo
Sorry kwanza ni cvv siyo ccv
Z.jpg
Kama hiyo hapo
 
hivi unapoboost post kwa kutumia credit card unalipia malipo halali kabsa I mean pesa au maana unapojaza ile credt card tayari unakuwa umefungua adsacount na unakuta $$ nyingi kwenye account yako lakini inakuwa siyo pes kama pesa kabisa. please nijulishe mkuu hizo namba namba za dollars kwenye adsacoount kazi yake ni nini.
 
Back
Top Bottom