mfupa wa nguruwe mpaka jini awe muislam,akiwa mpagani anakufanyizia tukamfupa kanguruwe pia naskia ni tiba ya hayo makitu.kikubwa akomae na sala sana
Uyo binti wa kazi alikuwa changamoto sana, kwanza kulikuwa na mashuka mekundu na meupe alikuwa amepewa siku ya arusi uko kwao alikotoka kama zawadi na mama yake ndio alikuwa anayatunza, binti akawa anatuambia amewasiliana na mama yake ayachome moto, lakini shida ikawa inaendelea tukaona anatusumbua tuu.Msaada pekee ni YESU tu. Kwanza kabisa kama upo karibu na makanisa ya kipentekoste nendeni mkapate msaada wa maombi.
Pili huyo binti wa kazi wenu wa zamani inaonesha alikuwa anapenda uchawi na inawezekana kabisa alikuwa mchawi, mapepo ya kawaida huwa hayasumbui sn kutoka. Ila uchawi ni mgumu, na utazidi kuwa mgumu kutoka kama mtu ameficha vitu vya siri nyumbani kwao. Kwa huyo binti wa kazi imeonesha kuna vitu hakutaka kuvitoa ndo maana majini yalikuwa yanarudi kwake.
Ndo hivyo Mkuu, cha kushangaza ni kwamba, wakati siku moja tukimhoji binti aliyekuwa mchawi, ambae cheo chake ni mtunza hazina huko kwenye ufalme wao akasema huwa wachawi wanafunza uchawi wakiwa wadogo kabisa.Uyo binti wa kazi alikuwa changamoto sana, kwanza kulikuwa na mashuka mekundu na meupe alikuwa amepewa siku ya arusi uko kwao alikotoka kama zawadi na mama yake ndio alikuwa anayatunza, binti akawa anatuambia amewasiliana na mama yake ayachome moto, lakini shida ikawa inaendelea tukaona anatusumbua tuu.
Pili baada ya kuondoka ndio majirani wakawa wanatuambia kwamba binti alikuwa mzinzi sana, ndio tukaona kumbe tulikuwa tunatwanga maji kwenye kinu.
Kweli aisee kuna siku tulitoka kwenye maombi na uyo binti wa kazi aliyekuwa na majini na yakaaga kwamba yametoka, kwa vile amepona tupite tupate mbuzi katoliki.mfupa wa nguruwe mpaka jini awe muislam,akiwa mpagani anakufanyizia tu
hhaha kumbe walikuwa wanazuga tuu bado wapoKweli aisee kuna siku tulitoka kwenye maombi na uyo binti wa kazi aliyekuwa na majini na yakaaga kwamba yametoka, kwa vile amepona tupite tupate mbuzi katoliki.
Basi tukapiga fresh na yeye akala tena anasifia kwamba mtamu kweli, tukajua yap majamaa yatakuwa yamesepa, usiku tumelala tukasikia shughuli chumbani kwake yako yanamchapa stiki kwa kosa lingine la kulala bila kuoga.