erique
JF-Expert Member
- Apr 23, 2010
- 587
- 579
Wadau,
naomba yeyote mwenye utaalam wa jinsi ninavyoweza kusafisha display ya hii calculator. Ukitazama picha utaona upande wa kulia wa display wino kama unasogea, ni vipi naweza kurekebisha hili tatizo?
Fundi anaeweza rekebisha hii kitu anapatikana wapi?
Nimeambatanisha picha.
Asante