Msaada: Jinsi ya kuipata iPhone 12 pro max imeibiwa

Kwa ufafanuzi tu mdogo kuna simu iliyopotea na iliyoibiwa na iliyoisha moto last location itaonyesha eneo la mwisho wakati simu inashia moto kama ilipotea ni rahisi kuipata au inaweza tu kusaidia simu iliyoibiwa kujua eneo la mwisho mwizi alipoizima so kwa tz yetu iwe ambayo hakuna free wireless ni vigumu sana kutumia location bila mhusika kuweka line na kuwasha data
najqlibu tu kuona kwa nini kuna misinformation nyingi kwenye iphone wakati vitu vipo wazi
Kma ni kijana wa kazi nna uhakika hata kuzima data hajui na ameweka line yake kwenye hyo simu. Kwahyo itakua ina connect mtandaoni kila akiiwasha sababu haja zima data na hajafikiria hlo
 
Pole sana mimi waliondoka na iphone pamoja na Mac nikaenda osterbay ila hakuna nilicho ambulia zaidi ya kuvisamehe tu
 
Wakuu kweli teknolojia ni kiboko nimefanikiwa kuzipata simu zangu zote
 
Hata aki connect hotspot itaonekana number yake kule tcra. Na sijajua jamaa kaiba hyo simu ili iweje wakat hawezi kuitumia. Labda kma anataka kuuza spare

Mkuu nilifanikiwa kuzipata zote.
 
watu wa iphones hasa za bei mbaya,niwashauri tu.

unapowasha find my iphone iweke kwenye sehemu ya kuirestore kila kitu iwe kama mpya endapo itaibiwa,ili mwizi aweke line ikamatwe.
hii ni katika namna ya kufanya bidhaa yako ya thamani isiishie mikono ya uharibifu na hatimaye kupotezwa kabisa kwa kupitia mafundi wa spare.

wengi wetu hatujui kwamba icloud haiko kwa ajiri ya simu ila data,lakini kwa wabongo simu ni muhimu kuliko data.
chukueni hiyo.

Mkuu find my iPhone ndo Imenisaidia kumkamata mwizi. Kumbe hizi iphone kuanzia 12 hata mtu asipowasha/connect kwa internet inatuma tu location aisee. Hata samsung S10plus ina option ya ku enable offline locator.....
 
Mkuu nilifanikiwa kuzipata zote.
Alafu watu humu walikua wanasema uachane nao eti mapolisi watakuzungusha tu .

Mali ya bei kubwa hyo lazima waitafute na kuirudisha. Pole sana kwa kuhangaika mkuu. Lakini mali imesharudi salama
 
Alafu watu humu walikua wanasema uachane nao eti mapolisi watakuzungusha tu .

Mali ya bei kubwa hyo lazima waitafute na kuirudisha. Pole sana kwa kuhangaika mkuu. Lakini mali imesharudi salama
Asante sana mkuu...

Kuna mengi nimejifunza kuhusu hizi simu za bei ghali. Huwezi amini nilifanikiwa kwa kuitrack mimi mwenyewe tu kupitia find my phone na jamaa hakuwai connect na Internet lkn simu ilikua inanipa location hadi tukampata.
 
Find my phone ni mlinzi wa data zako kwenye iphone na kumfanya mwizi asiweze kuitumia......na wala sio kufanya uipate iphone yako

Ingia online wipe simu iphone yako na itoe kwenye icloud yako iwe free ili mwizi aweze kuitumia kisha umtrack kwa imei no

Mi iphone yangu nimezima kabisa find my phone na nimeiset ukikosea password mara kadhaa inaji restore ili atakayiiba aweze kuitumia nipate mwanya wa kumtafuta
Niliipata mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom