tayari ishakua spea kkoo iyoWakuu polisi wamenambia Hadi awashe simu
iphone haibadilishiki imei.Ikiwa free si wataflash then itabadili imei mkuu?
kinachotrackiwa ni imei no,unapewa na namba za simi zinazosoma humo kwa wakati huo,kisha unaanza kuzitafuta.Mfano niki erase data si inamaana sitaweza itrack tena?
iyo unajua wewe, aliyeiba hajui iyoMkuu iPhone 12 huwezi ifanya spea
Wanaoiba hizi simu kali hawajui kama hawawezi tumia kwa laini nyingine, Wao huingiza tu laini baadae wanashangaa wanatiwa nguvuni mchana kweupe, Wavunje bank wachukue mzigo wa maana hata polisi wakipelekewa hio kesi wajue wanaenda kukutana na wapambanaji sio unaiba simu ya mfukoni itakusaidia nini?
android karibia zote bado zina udhaifu huu.Ngoja niitoe lost mode mkuu. Vipi kwa samsung S10 wanaweza change imei?
Hapo utapigwa blah blah tu hadi uchoke,baada ya miezi hata 6 wataifuatilia kivyao vyao ili wapige pesa na waichukue wao,nishaona jamaa kakamatwa na simu aliyouziwa zaidi ya mwaka m1 uliopita,walimkamata bila tabu yoyote,akawapa simu na pesa wakamuacha aendelee na mambo yakeWakuu polisi wamenambia Hadi awashe simu
Kuchangr imei wanaweza ila sio kwa mafundi wa kidosho. Lazima awe na diagnostic tools kutoka SamsungNgoja niitoe lost mode mkuu. Vipi kwa samsung S10 wanaweza change imei?
Kuna jamaa yangu aliipata samsung a50 yake ndani ya miezi mi 4. Alitoa kma laki na nusu hvKuna watu hupata Simu zao
Sie wa infinix tunaifind vp iyo find my phoneJaribu kutumia find my iPhonekama inazsumbua nenda polisi kwa msaada zaid i guess
Kama hujui kitu kausha tu mdautayari ishakua spea kkoo iyo