Msaada: Jinsi ya kuipata iPhone 12 pro max imeibiwa

Ana option moja kuisalimisha tu maana hataweza kuitumia
Fanya kufuatilia then utujulishe mkuu
iPhone siyo simu ya kuiba kabisa

Tatizo anahama Hama location na password yangu alikua anaijua isipokua hyo iCloud account ndo hajui password yake so anahaha sana. Na tumeshatrace hadi simcard aloweka na bado yupo mkoa nilipo. Tumebaki tunajiuliza alikua na lengo la kuiba au linguine?
 
Anahangaika bure tu chill kiasi kama ni mtu unaemhisi maana ni wazi hatawezana nayo
 
Sio namhisi niyeye mkuu. Nilikua nimelala yeye kaamka katoroka na vitu Vya ndani ikiwemo hiyo simu. Alikua Kijana wa kazi.
Basi fuatilia polepole tu maana hawezi kuitumia mpaka wakati huu kama ulifuata maelekezo ya find my phone
Atarudisha au kuisalimisha
 
Last location kwa simu kama iPhone inajiset yenyewe kama simu inaisha charge au imezima na popote utakapoiwasha inaanza upya kusoma location ndo maana mkuu anasema ana hama hama location

Kwa ufafanuzi tu mdogo kuna simu iliyopotea na iliyoibiwa na iliyoisha moto last location itaonyesha eneo la mwisho wakati simu inashia moto kama ilipotea ni rahisi kuipata au inaweza tu kusaidia simu iliyoibiwa kujua eneo la mwisho mwizi alipoizima so kwa tz yetu iwe ambayo hakuna free wireless ni vigumu sana kutumia location bila mhusika kuweka line na kuwasha data
najqlibu tu kuona kwa nini kuna misinformation nyingi kwenye iphone wakati vitu vipo wazi
 
Kwa simu aina ya mkuu haina hiyo boss
Inasoma popote as long as apple ID yake ipo logged in
 
Lcd data , battery data zote wana weza kuprogram vifaa vipo ni swala la mda mfano ilipiyoka x na 11 battery na lcd zilikuwa zinazingua vifaa vikatoka vioo now hazileti ule ujumbe wa no genuine
Kwenye iPhone battery na display ni vitu visivyo na thamani kabisa, ni bei rahisi tu. Na kuanzia iPhone 11 series ukibadilisha battery na display inakupa warning. Hata ukitumia programmer ile warning bado inakuja. Njia ya kuondoa hii message ni kuchukua battery controller kutoka battery ya zamani na kuihamishia au ic chip kutoka display ya zamani. Ameiba simu ya bei hvo ili aende kupewa laki 1 au laki 2 ya kioo na elf 50 - 80 ya battery. Dah inauma kweli.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom