johnhance
JF-Expert Member
- Jul 9, 2016
- 1,769
- 2,134
nguo au nafaka ?kausha tu
nguo au nafaka ?kausha tu
Una uhakika mkuu?Hata aki connect hotspot itaonekana number yake kule tcra. Na sijajua jamaa kaiba hyo simu ili iweje wakat hawezi kuitumia. Labda kma anataka kuuza spare
Ndio. Uki connect hotspot kwa simu nyingine information kma IP address, mac address, imei na info za source ya wifi yako bado zinaonekana kwa ISP (Internet service provider) wakoUna uhakika mkuu?
Ikiwa free si wataflash then itabadili imei mkuu?
Nyiee mkiibiwa nunue nyingne TuSie wa infinix tunaifind vp iyo find my phone

Inatumika mbinu gani ili waweze kuona infos zote za hiyo hostpots, unatakiwa uwasilishe nini ili kazi hiyo ifanyike kwa ufasaha?Ndio. Uki connect hotspot kwa simu nyingine information kma IP address, mac address, imei na info za source ya wifi yako bado zinaonekana kwa ISP (Internet service provider) wako
mkuu usiwe na haraka kuamua ku erase data hiyo inaweza mpa nafasi aliyechukua ku access maana haitakuwa na security tenaMfano niki erase data si inamaana sitaweza itrack tena?
Tuelekeze na sisi ambao zetu hazijaibiwa au kupotea tuweke hiyo setting ili iwe rahisi kuipatamkuu usiwe na haraka kuamua ku erase data hiyo inaweza mpa nafasi aliyechukua ku access maana haitakuwa na security tena
kama unakumbuka icloud yako basi sign in then fungua find my phone app hii unaweza kutumia hata kwenye iphone nyingine kwa mtu mwenye app hiyo
ukishaweka details zako itakwambia uchague device na bila shaka aina ya hiyo simu itaonyeshwa unafinya select itakuonyesha location simu ipo unaweza fungua hiyo map ukaona
Kuna kitu kingine kwa simu hiyo kinaitwa ''Offline finding'' kama uliweka on basi hata kama ametoa line bado itaonyesha location ilipo
Unaweza kufika mpaka eneno husika kwa kufuata location unayoonyeshwa mpaka ukifika kabisa unachagua option ya sauti then simu hata kama imezima inaanza kutoa ringtone
Vyote hivi vinaweza kuwa rahisi ikiwa ''Find My Device''uliweka on kwenye settings au kwa kutumia hii ''Find My App''
Kama simu hiyo imeisha charge au ilizima last location ilipo vitatumwa kwa Apple kwahiyo bado utaweza kuona location yake
Kma matumaini ya kuipata yamegonga mwamba mkuu reply hapa nitakuelekeza namna ya kuifunga
kuanzia iOs 13 setting>click jina>click Find My phone utafuata maelekezoTuelekeze na sisi ambao zetu hazijaibiwa au kupotea tuweke hiyo setting ili iwe rahisi kuipata
Umesomeka vyemakuanzia iOs 13 setting>click jina>click Find My phone utafuata maelekezo
kwa iOs 12 na zilitotangulia unaingia setting>click jina>iCloud>Find my phone weka apple ID
kama find my iphone iko off weka on. maelezo mengine rahisi hapo utafuatiliza kuweka unavyotaka wewe
kuanzia iOs 13 setting>click jina>click Find My phone utafuata maelekezo
kwa iOs 12 na zilitotangulia unaingia setting>click jina>iCloud>Find my phone weka apple ID
kama find my iphone iko off weka on. maelezo mengine rahisi hapo utafuatiliza kuweka unavyotaka wewe
Hii simu huwezi Fanya spare kwa namna yeyote ile
Umeipata?Ndo niliona ni best option na imeanza kuzaa matunda
Ndo ipoje hiyo