racka98
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 1,041
- 1,530
Kma ni kijana wa kazi nna uhakika hata kuzima data hajui na ameweka line yake kwenye hyo simu. Kwahyo itakua ina connect mtandaoni kila akiiwasha sababu haja zima data na hajafikiria hloKwa ufafanuzi tu mdogo kuna simu iliyopotea na iliyoibiwa na iliyoisha moto last location itaonyesha eneo la mwisho wakati simu inashia moto kama ilipotea ni rahisi kuipata au inaweza tu kusaidia simu iliyoibiwa kujua eneo la mwisho mwizi alipoizima so kwa tz yetu iwe ambayo hakuna free wireless ni vigumu sana kutumia location bila mhusika kuweka line na kuwasha data
najqlibu tu kuona kwa nini kuna misinformation nyingi kwenye iphone wakati vitu vipo wazi