Msaada: Jinsi ya kuipata iPhone 12 pro max imeibiwa

mtz one

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
4,275
Reaction score
1,222
Wakuu nimeibiwa Leo iPhone 12 pro max na kijana wa kazi na kutokomea nayo.

Je, ni kwa namna gani naweza ipata?

=============================

Nilifanikiwa kuipata hii simu.
 
Labda hajui. Ila nenda cyber crime division pale oyster bay jamaa anaeza jichanganya akaingiza line yake. Wao wakijua tu line iliyowekwa ni ya nani watamtafuta huyo mtu mwenye hyo line hata kama akaitoa na kuzima simu.

Dah mtihani sana
 
watu wa iphones hasa za bei mbaya,niwashauri tu.

unapowasha find my iphone iweke kwenye sehemu ya kuirestore kila kitu iwe kama mpya endapo itaibiwa,ili mwizi aweke line ikamatwe.
hii ni katika namna ya kufanya bidhaa yako ya thamani isiishie mikono ya uharibifu na hatimaye kupotezwa kabisa kwa kupitia mafundi wa spare.

wengi wetu hatujui kwamba icloud haiko kwa ajiri ya simu ila data,lakini kwa wabongo simu ni muhimu kuliko data.
chukueni hiyo.
 
Ikiwa free si wataflash then itabadili imei mkuu?
 
Back
Top Bottom