Msaada jinsi ya kuinstall printer ya canon image runner 2520

Si kweli mkuu, pc tunayotumia ofisini inatumia bit 32, na nikapiga windows bit 32 ,ikagoma kuprint, nikadownload software yenye bit zote ikagoma pia, hizi printer ukishusha windows kikubaliki ni ngumu kuprint
Je driver ya printer ilikubali kuinstall vizuri mpaka nwisho?
 
Ir2520 kama mdau alivyosema inakuja na 32bit driver, na huwa inafanya kwa Network sio usb. Hivyo ili iweze kufanya ni vyema ukatumia computer yenye 32Bit Os hata kama ni windows 10, na utumie ile driver cd iliyokuja na mashine. Mwishoni kabla hujaanza kuprint ingia kwenye printer settings set paper size na tray unayotumia.
 
Na sasa ni 2024
Nimejarib install driver za IR 2520 Kwenye pc ila inaniambia usb cable not detected by PC acha kabsaa

Inaishaje hii inshu
 
Back
Top Bottom