Sio kweli mkuu, mimi machine yangu ni canon IR 2204. CD yake imekuja na driver zote 32 bit na 64 bit, mara ya kwanza nili install driver ya 32 bit na window ilikua 32 bit, ikakubali, nikafanyakazi vizuri, baada ya muda window ikawa infected na virus, nikaamua kufanya clean reinstallation ya window, nikatumia cd ile ile niliyoingizia window mara ya kwanza, kilakitu kikaenda vema ila ilipofika zam ya kuinstall driver ya hiyo canon, hatua zote za wali ilienda vizuri ila hatua ya ku-connect printer cable ili pc i-detect printer ika-fail, error ikanitaka ni-disconect cable na kuzima printer kisha kuwasha tena, nikafanya hivyo mara nyingi bila mafanikio, nikaamua kutoa tena hiyo window 32 bit, nikaweka 64 bit, nikatumia driver ya 64 bit nayo habari ikabaki pale pale. Kwakweli hili ni tatizo kwa watu wengi, mwenye ufahamu wa solution yake msaada tafadhali.
Sent using
Jamii Forums mobile app