Msaada jinsi ya kuingiza kitabu cha riwaya(academic) sokoni kupitia Taasisi ya Elimu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada jinsi ya kuingiza kitabu cha riwaya(academic) sokoni kupitia Taasisi ya Elimu

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Uncle Jei Jei, Jun 6, 2012.

 1. U

  Uncle Jei Jei JF-Expert Member

  #1
  Jun 6, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,203
  Likes Received: 944
  Trophy Points: 280
  Habari mwanaJF hasa wa jukwaa hili la wajasiria mali, nikiri kuwa limekuwa msaada mkubwa wa mawazo kwa watu mbalimbali. Back to the topic; kuna ndugu yangu mhitimu wa chuo kikuu katika fani ya Literature, huyu ndugu ni mbunifu wa stori na ukiachilia mbali elimu yake, lakini pia ana kipaji cha uandishi wa vitabu. Mpaka sasa anavitabu kadhaa ambavyo walim wake wa chuo kikuu walivipitia na kumpongeza kwa kazi nzuri inayoichora jamii ya Tanzania. Challenge imebaki jinsi ya kuviingiza sokoni ili afaidi matunda ya kazi yake! Hivi ili kitabu cha riwaya kikubarike na Taasisi ya Elimu Tanzania ni hatua gani hufuatwa?? Na malipo yake yanakuwaje??
   
Loading...