Geniustin
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 4,379
- 2,855
Ndugu zangu,mimi ni mwajiriwa wa serikali katika sekta ya Afya. Nimeajiriwa Halmashauri moja hivi.
Nakuja kwenu kuomba msaada/njia au maelekezo ya jinsi gani naweza kuhama kutoka hii Halmashauri ninayofanyia kazi, kwenyeHalmashauri ya Mkoa mwingine. (na hata kuhama kabisa mwajiri,na kuwa mwajiriwa wa serikali kuu kwa upande wa afya).
In short, nataka kuhama kutoka mkoa mwingine kwenda mkoa mwingine. Naanzia wapi wandugu?
Natanguliza shukran zangu.