Msaada jinsi ya kufilter data kutoka kwenye biometric attendance to mysql database using laravel

Msaada jinsi ya kufilter data kutoka kwenye biometric attendance to mysql database using laravel

Cheki hulka za 'selfish developer' hizi.
Badala kumwelekeza newbee tatizo nini endapo akitumia framework kwenye project yake, unaishia kuguna tu!
Huwa majibu mtu akiweka code snippet na si kwamba sikuweza, hivyo ndo nilivyo fundishwa na hata mimi nilikuwa naandika theory wakati practically sikufanya chochote.

Tafuta nyuzi zenye maswali ya aina hii humu ambayo yaliulizwa na wadau yakiwa na code mara nyingi nimejibu mimi.
So ni vile inaonyesha wengi hatupendi kusoma ama labda sio wazingatiaji, jamaa mmoja kasema developer wengi hawawezi kuandika documentation, haya ni madhara ya kujisomea kiolela kila kitu ilimradi una interest tu. Hivi vyote vinafundishwa hatua kwa hatua kwenye course ya software engineering so what.

Sasa basi huwa sisaidii mtu aliyelewa tatizo lake theoretically wakati linahitaji solution practically na nikifanya hivyo maana yake utauliza tena na hii unamaana haukusoma vizuri unachofanya, na kama ntajibu labda tatizo ni simple sana.


Sasa unataka nianze kuuliza "ebu onyesha hiki mara kile nooooo. Leta code hapa nikuonyeshe namna ulivyo kuwa na shida.


Mlolongo wa mambo mengi😀
 
Back
Top Bottom