Msaada jinsi ya kufilter data kutoka kwenye biometric attendance to mysql database using laravel

Developer IOS

JF-Expert Member
Jun 20, 2017
1,457
1,409
wakuu nilikuwa natengeneza attendance system ambayo nataka ichukue data kutoka kwenye biometric attendance system kwenda kwenye system yangu ambapo hizo data nataka nizifanyie manipulation ili kucalculate percentage ya attendance kwa mwenzi na kufanya evaluation mbali mbali based on attendance
 
kwanini usitumie pure php mkuu unang'ang'ana na mifremweki izo kwa project ambayo ni simple ?
 
wakuu nilikuwa natengeneza attendance system ambayo nataka ichukue data kutoka kwenye biometric attendance system kwenda kwenye system yangu ambapo hizo data nataka nizifanyie manipulation ili kucalculate percentage ya attendance kwa mwenzi na kufanya evaluation mbali mbali based on attendance

Utanilipa shillingi ngapi nikikufundisha? I want you to pay me in advance ili nikusaidie.
 
wakuu nilikuwa natengeneza attendance system ambayo nataka ichukue data kutoka kwenye biometric attendance system kwenda kwenye system yangu ambapo hizo data nataka nizifanyie manipulation ili kucalculate percentage ya attendance kwa mwenzi na kufanya evaluation mbali mbali based on attendance

Cha kwanza kujua biometric system yako ina store data in what format ? Alaf ungetoa detail zake.. maana ukisema utumie php how will you be able to get the data?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
mathsjery dronedrake sijaona ubaya dogo kutumia framework, esp the famous ones like Laravel. The fact that ina standards makes it very easy to pass over code to another developer. And since ina watumiaji wengi duniani it is easy to get patches and custom modules for specific stuff.

Huwa na struggle kila siku na developers ambao wanajopride na "I did my thing from scratch" then hata documentation hajaweka, na hujui ametumia methodology gani. Long story short their code becomes unusable. Anyway, acha niepushe politics.

Masenu K Msuya nicheki DM nikupe namba ya jamaa amefanya hicho kitu
 
wakuu nilikuwa natengeneza attendance system ambayo nataka ichukue data kutoka kwenye biometric attendance system kwenda kwenye system yangu ambapo hizo data nataka nizifanyie manipulation ili kucalculate percentage ya attendance kwa mwenzi na kufanya evaluation mbali mbali based on attendance
Ungetoa specifications za hiyo biometric attendance kwanza, je ipo locally(application) au ipo online,Kama ipo online una full access kwenye codes zake au ina API pia programming language iliyotumika nk.
 
mathsjery dronedrake sijaona ubaya dogo kutumia framework, esp the famous ones like Laravel. The fact that ina standards makes it very easy to pass over code to another developer. And since ina watumiaji wengi duniani it is easy to get patches and custom modules for specific stuff.

Huwa na struggle kila siku na developers ambao wanajopride na "I did my thing from scratch" then hata documentation hajaweka, na hujui ametumia methodology gani. Long story short their code becomes unusable. Anyway, acha niepushe politics.

Masenu K Msuya nicheki DM nikupe namba ya jamaa amefanya hicho kitu
Yah, sio mbaya akitumia framework na si kweli kwamba kutumia PHP from the scratch haiwezi kuwa na security but also huwezi sema mtu hafaamu kuandika documentation ya web app alotengeneza kwa sababu alitumia normal PHP.
Mimi nacho shangaa ni kusema kuwa unatumia framework kwa sababu ya security?.
Mbona Kuna web app kibao zipo hewani zimetumia framework na ni vurnerable nenda Github ukaone, na zipo ambazo hazikutumia framework sio vurnerable nenda Github ukaone, kifupi Ni kuwa kutengeneza web app ni kitu kingine na security ni kingine na documentation pia kwa hiyo itategemea namtegenezaji.

Cha msingi kuwepo na speed na kuproduce very secured app.
 
mathsjery Many developers are poor at documentation. na hiyo ni fact. and to do your own CMS you really really need to have eyes for security (na jicho la pili as much as possible). You really need to be confident at what you are doing. And you really need to stay abreast patches etc. While I respect people ambao wanafanya their stuff "from scratch" only 1 in 1000 kutoka Bongo can really convince me that their software meets international usability, scalability and security standards.
 
mathsjery Many developers are poor at documentation. na hiyo ni fact. and to do your own CMS you really really need to have eyes for security (na jicho la pili as much as possible). You really need to be confident at what you are doing. And you really need to stay abreast patches etc.
While I respect people ambao wanafanya their stuff "from scratch" only 1 in 1000 kutoka Bongo can really convince me that their software meets international usability, scalability and security standards.
😀 Bila shaka tunadharaulika sana yaani
only 1 in 1000
developer, wabongo.

poa poa mkuu acha tuendelee kukanyaga kanyaga.

Je, una ushaidi wowote?.
 
wakuu nilikuwa natengeneza attendance system ambayo nataka ichukue data kutoka kwenye biometric attendance system kwenda kwenye system yangu ambapo hizo data nataka nizifanyie manipulation ili kucalculate percentage ya attendance kwa mwenzi na kufanya evaluation mbali mbali based on attendance
Unatumie Eloquent ??

Onesha model yako,upate msaada
 
Vp umeshapata solution? Nataka nikupe msaada
wakuu nilikuwa natengeneza attendance system ambayo nataka ichukue data kutoka kwenye biometric attendance system kwenda kwenye system yangu ambapo hizo data nataka nizifanyie manipulation ili kucalculate percentage ya attendance kwa mwenzi na kufanya evaluation mbali mbali based on attendance

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni asubuh na mapema, ni saalama, nipo na computer yangu acreen kubwa natandika python mdogo mdogo nipo na django , on the background nasikiliza mziki kwa mbali indigo by CB....anyways Nilikuja kujua jambo moja tatizo huwa sio hizi language wala programming language na mtu yeyote anaweza kuzijua tatizo huwa ni kusolve realtime problems kutumia hizi language....

Wakuu tupambane, na i almost forgot, huu uzi hauwez kuwa na watu hata 60 ni aibu kwa taifa kama la Tanzania lenye watu milon 56 kwenda 60
 
Back
Top Bottom