Nunua oliver oil akitoka kuoga basi alale kifudifudi mpake mafuta anzia kiunoni ukipanda kwa juu poleee poleee huku story mwanzo mwisho
massage kwa kwenda juu hadi shingoni
yaani ona hapa mikono yako fanya hivi vile vidole gumba vikutane pale kwenye sijui ndo uti wa mgongo then fata utaratibu unapanda na kushuka
alilala wewe unaweza kumkalia chini ya matako kidogo yaan kama vile umembana kwenye mapaja yako then hapo utapata balance unaanza massage pole pole stori weee baada ya nusu saa alishasinzia longiiiiiiii time.