Msaada: Jinsi ya kufahamu kiasi cha mkopo ninachodaiwa HELSB

YonDu Udonta

JF-Expert Member
Aug 6, 2016
723
569
Salaam wakuu,

Leo nimekuja kwenu naomba kujulishwa jinsi ya kufahamu kiasi cha pesa nilichokopeshwa bodi ya mikopo, nimeona matangazo mengi moja wapo likiwemo lile la kuwaburuzwa wadaiwa mahakamani.

Nitapendezwa zaidi kama nitaweza kufahamu zaidi kupitia mtandaoni.

Natanguliza shukrani
 
Nenda ofisi yao dar wakupe statement au wapigie kwa landline yao watakuomba email yako ili wakutumie kama upo mbali
 
Back
Top Bottom