brave Mwafrika
JF-Expert Member
- May 2, 2019
- 213
- 109
Habari za leo wana JamiiiiForums,
Naombeni mnijuze. Mimi nilifanya application ya chuo cha afya cha serikali na nikachaguliwa nursing. Ila nimejaribu kufanya tena application ili nichague kozi nyingine lakini niki login ili nifanye application wananipongeza tu kwa kuchaguliwa na hakuna option zingine za kuendelea na application.
Sasa swali langu, ukishachagulia chuo cha afya cha serikali uruhusiwi kufanya application kozi nyingine?