Msaada jinsi ya kudownload nyimbo kwenye muziki neti

DR. MWAKABANJE

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2012
Posts
1,986
Reaction score
3,151
Habari waungwana wa Jf,

Naomba kusaidiwa jinsi ya kuweza kudownload nyimbo ziliko kwenye MUZIKI NET, sio siri kuna nyimbo za makabila mbalimbali ya hapa nchini nazipenda sana ila nimejaribu kuzipakua nikashindwa naomba mwenye uzoefu anisaidie, nitashukuru sana!
 
SHIKA adabu na uhamie kwenye jukwaa linalostahili, msije mkajaza hili jukwaa na neno MSAADA
 
Habari waungwana wa Jf,

Naomba kusaidiwa jinsi ya kuweza kudownload nyimbo ziliko kwenye MUZIKI NET, sio siri kuna nyimbo za makabila mbalimbali ya hapa nchini nazipenda sana ila nimejaribu kuzipakua nikashindwa naomba mwenye uzoefu anisaidie, nitashukuru sana!
mkuu hapa hii topic yako sio mahala pake kwa msaada zaidi nenda jamii forum home then click Tech, Gadgets & Science Forum
 
Back
Top Bottom