Msaada: Jinsi ya kublock simu za usumbufu

GAMBLER

JF-Expert Member
Nov 22, 2009
303
11
Habari zenu wana jf. Ombi langu ni kuwa kama kuna mtu ana elewa namna ya kubloc au kama kuna namna nyingine ya kufanya,aeleze au awache contact yake hapa, hata kama kuna malipo niko teyari, maana kuna watu wana usumbufu sana. Natumia simu aina ya nokia 6233... Natanguliza shukrani
 
Unalo, ulipokuwa ukigawa namba yako ya simu ulifikiria nini,Usikwepe majukimu ndio ukubwa
 
Habari zenu wana jf. Ombi langu ni kuwa kama kuna mtu ana elewa namna ya kubloc au kama kuna namna nyingine ya kufanya,aeleze au awache contact yake hapa, hata kama kuna malipo niko teyari, maana kuna watu wana usumbufu sana. Natumia simu aina ya nokia 6233... Natanguliza shukrani

Ombi au Amri?
 
Nenda kwa kampuni ya simu unayotumia.kama ni tigo au zain. watakusaidia kuiblock hiyo namba.Lakini kumbuka zoezi la kusajili namba halijakamilika bado,hivo anaweza kununua simcad nyingine na kuendelea na usumbufu wake.
Nakushauri kama unaweza badilisha wewe namba yako ya simu.
 
anakusumbua vp? kama ni mpenzi wako wa zamani na amedhamiria kukusumbua atakusumbua hata ukilock cm yako....................we solve tatizo lilopo ili uondokane nalo na wala usijaribu kulikimbia..............
 
Tafuta simu ya samsung E 250 slide ndo nayoitumia mm hiyo unaweza kublock no ya mtu mmoja tu na wengine wakaendelea kukupata bila tatizo pia unablock had Sms zake unakua huzipati. Pia Nilishawahi kutumia simu aina ya LG ya kufunua ila nimesahau ni model gani nayo inazo hizo huduma.

pole sana mtu wangu
 
Poleee!!!! I hope soon utapata solution!! lakini ungeenda customer services wa campuni ya line unayotumia watakupa msaada zaidi.
 
Badili namba na usigawe ovyo ovyo, ama vinginevyo acha kutumia simu kwa muda hivi!
 
nunua simu aina ya g-tide[ni ya kichina]nenda kwenye call setting,tafuta black list,hapo orodhesha namba unazotaka kublock,
 
Back
Top Bottom