msaada jinsi ya kuanzisha Non-governmental profit

social_science

JF-Expert Member
Dec 19, 2015
1,106
1,259
Habarini ndugu

Napenda kuelimishwa kuhusu hizi taasisi zisizokua za kiserikali na uanzishwaji wake(utaratibu jinsi ya kuisajili)
Pia kama kuna taasisi ipo active naomba kuunganishwa ili nitafute ujuzi kwa kujitolea kwa muda


Status: Mwanafunzi wa chuo

asanteni sana
 
["msaada jinsi ya kuanzisha Non-
governmental profit"]

Nakushauri ujifunze kuandika kwanza ndipo uje usaidiwe nini cha kufanya
 
Back
Top Bottom