Msaada jinsi ya kuandika talaka

Msaada jinsi ya kuandika talaka

talaka mfano: unaanza mimi bwana ABUBAKAR SHEKAU ninaamua kumpa talaka bibi miss chagga bin Kilimanjaro talaka ya kwanza akake nyumbani kwa wazazi wake mwezi mitatu .....

akirudi akiwa mshenzi tena unaandik atalaka ya pili miezi mitatu..

akishindikana kabisa andika ya mwisho sasa ambayo ni unaanza mimi bwana ABUBAKAR SHEKAU ninaamua kumpa talaka bibi miss chagga bin Kilimanjaro nimeshakuonya marea mbili umeshindikana sasa hii ni talaka ya mwisho mwanaharamu usiyejua vibaya... huna haya nenda mawana kwenda kuanzia leo wewe siyo mke wangu natengua ndoa hiii kuanzia leo ni batili....

kunguru ufugiki wewe kuazi kuona vya jirani .. mwanaharamu wewe hujui vibaya
asante : ABUBAKAR SHEKAU
 
Last edited by a moderator:
hairuhusiwi kutoa talaka zaidi ya moja kwa wakati mmoja! na hata akizitoa talaka zaidi ya moja kwa wakati mmoja, bado itasimamam kama talaka moja! mamaafacebook M. Mungu anajua zaidi!

Owh asante kwa ukumbusho
 
Last edited by a moderator:
Mimi fulani bin fulani wallah huyu mwanamke manina zake simtaki.......mwanamke duniani hayupo ahera anatafutwa akauze ufuta mie wa nini.......nshasema simtakiiii.........

Du hii talaka kiboko.
 
Mimi fulani bin fulani wallah huyu mwanamke manina zake simtaki.......mwanamke duniani hayupo ahera anatafutwa akauze ufuta mie wa nini.......nshasema simtakiiii.........

Preta hakuna hata talaka ya kwanza na ya pili loh
 
mimi ni furani. bini furani. HY: wanawake mnao pewa talaki mimi sijaoa kama ukipewa talaka wewe usijali. mgawane mali.uje tuanze maisha wote.unitumia no nakupigia.
 
WAKWE
P.O.BOX
Dar-es-salaam
TAnzania

Yah:Talaka

Wakwe husikeni na kichwa cha habari hapo juu...Nimeamua kumuacha huyu shetwan rajim..iblis.. kwa talaka tatu juu ya tabia yake ya kukesha kwenye vigodoro..nimefikia uamuzi huu baada ya kumkanya mara kadhaa na kukaidi kuskia kwahyo uamuzi wangu ndio huo...ikiwezekana wakwe mnirudishie hata nusu ya mahari yangu maana huyu mwanenu sjamkuta bikra yan mmenipiga changa lamacho

simtaki hata kumskia

wenu Msatahiki Bin Meya.
 
kwako uliyekuwa mkwe wetu,
Tunakutaarifu aliyekuwa mkeo amefika salama nyumbani na mola ni mwema ameshapata mume mwingine. kuhusu kukurudishia mahali sahau kwa kuwa na pesa hiyo alinunulia shabu kwa ajili ya kukupa bikra.
 
Duh!, akaaaa mimi simo.

Halafu mnasema jukwaa la siasa ndio lina mastress? mimi nasema huku MMU ni stress kwa kwenda mbele. Wacha nirudi zangu siasani, humu sitii langu kwa leo.

Afadhali mwaya, jiendee zako siasani, mpe hi msalani
 
kwako uliyekuwa mkwe wetu,
Tunakutaarifu aliyekuwa mkeo amefika salama nyumbani na mola ni mwema ameshapata mume mwingine. kuhusu kukurudishia mahali sahau kwa kuwa na pesa hiyo alinunulia shabu kwa ajili ya kukupa bikra.

Thread hii imenichekesha sana, leo Abubakary utapewa kila aina ya talaka hapa
 
ningekua nimemaliza digirii Yangu ya sheria ningekula kichwa hiki daaah
 
Talaka yangu moja tu lakini huenda wazee wake wakasema ni sawa na tatu
 
Hivi kwa nini wanawake wo hawatoi talaka ila ni wanaume tu?Je wanaume hawakosei???Mimi huwa sielewi ilhali kuna wanaume wanaliwa tigo na wake zao wanajua bat still atamfichia siri sasa kwanini wanawake nao wasiwataliki waume zao?Nyie team tamwa tgnp na wabeijin hamjaliona jili???
 
dada mmoja kapewa talaka imeandikwa
"nenda kwenu ukafunzwe." sijaongeza wala sijapunguza neno
 
baba siwajibu,
slp mapenzi basi,
03.11.2014
mama siwajibu,
mke wangu wa zamani.

yah: taraka.

soma kwa makini heading hapo juu,
kuanzia muda huu upatapo hii barua tambua kwamba mimi si mumeo tena, naomba zingatia masharti ya taraka hii kila siku ya maisha yako.
Masharti.
1. utaondoka kama ulivyokuja, kwa
kuwa ulikuja na issue yako , nenda
nayo siitaki tena milele, hainogi.
2. tukionana njiani kama kuna njia
ya kuchepuka ni vema ukachepuk
haraka ili tusigongane njiani
3. kama upo kwenye daladala
ukiniona naingia wewe shuka
haraka kabla sijakusanua.
4.hakuna kufanya mapenzi
na mwanaume yoyote mpaka
mtoto wetu atimize miaka 18.
5. waambie wazazi wako wakiniona
njiani wakimbie haraka kabla
sijakisanua.
6. mwisho marafuku kutanguzana
au kuongea na mwanaume
yoyote.
nb: mwambie mshenga alete ng'ombe zangu ndani ya siku saba kwani walikuolesha kwangu ili hali wakijua fika wewe ni malaya,mwongo, mwizi, hunogi ,chupi mkononi kama mama yako mzazi hivyo mlinihadaa.

Wazazi: mpokeeni mtoto wenu muishi naye kwani hanogi kabisa kama mna bisha mwambieni amwonjeshe kaka yake athibitishe.

asante,
wenu wa kunoga,
baba siwajibu.
 
Ni shiiida......😠
 
Wanajukwaa vitendo anavyonifanyia mke wangu nimeshachoka.

Ninachohitaji kutoka kwenu ni jinsi ya kuandika talaka tu, sihitaji ushauri wowote nimechoka na wala sitosikiliza ushauri wa yeyote yule.

Pole mkuu natumaini hamkupata watoto maana ndio wanaoumia zaidi
 
Back
Top Bottom