Msaada jinsi ya kuacha kuvuta bangi

maandiko yanasema kuleni majani ya kondeni.ili mpate maarifa so dnt stop smokin.coz ni.jani la knowledge ka uko dar nitafute tule zetu mmea tuwe high tu think deep
Mkuu niko kanchi kawatu napiga kitabu, hapa Escola kuna niko nawenzangu flani tunakamua hayo makitu, yani simchezo tunafanya vizuri tu ktk masomo yetu, diferrente com os otro que nao fumam, tena zaidi ma curtedor wale wanaoabudu bombe na wanawake. Paca e uma nice na vida de todos entre nos lakini wajinga wachache wanalichafua.
 
Point ya msisitizo ya huyu dogo ni kutaka akina dada na mama ndio wamcontact kumpa ushauri tu. Hayo mengine hapo hayana tija sana, ni kupoteza maboya.

Sasa dogo wewe ni wa kiume ila unataka siri ya mafanikio kutoka kwa wanawake. Hehehe dogo, utaweza kweli? Wenzio wanafanikiwa kwa njia nyingi sana, uko tayari kukubaliana nazo nawewe uige ili ufanikiwe?

mbaya xizifuat ila nzur ntazifuata xio kila aliyefanikiwa ametumia njia hiyo unayowaza joh
 
Mimi ni mwanaume, ila ningekushauri uendelee kuwauliza wanaume tu, maana wanawake sio wengi wavutaji. Au uwe specific kwamba wanawake wanaovuta au waliovuta wakaacha ndio wakusaidie.

Mkuu naona umeweka namba (umetega) upigiwe na wanawake wanaopenda wavuta bangi; kila la kheri mkuu.

hahaha mnajua kuchimba aise
 
Noel jina zuri!! tafuta ushauri wa watumishi wa Mungu - nina imani utaiacha hali hiyo. Nimeshuhudia vijana kadhaa hasa wa kike wakiacha hiyo kitu baada ya kuombewa kule tabata-segerea kanisa la Prophet Joseph kanisa au hekalu la ZOE. Chukua hatua.
 
Last edited by a moderator:
usivute bangi, bangi haina stages za kuacha just quit and you will be free, kwanini inakufanya kuwa mtumwa?
 
Safi Mkuu,

Hata usivute, Mi nakumbuka siku nilovuta kwa mara ya kwanza, nilikaa zaidi ya masaa manne, nikiji evaluate kimaisha, hatua nilizopiga, Uzembe nilofanya, na mambo kama hayo, basi kuanzia kesho yake, nikaanza kuwa responsible ktk maisha yangu.

Somewhere on the way, ndio nikajikuta naipa credit Bangi, for the change that it made in Me.

Kantinyuu.. BLezin' Till yo Head Stuck...
Yaah Maaan...
 
Mwamini Yesu,uokoke.Nguv ya Roho Mtakatifu itakupa ujasiri unaotaka.Soma Yoh 1:12 Bali wote waliompokea aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa Mungu.
 
Ikiwa nikiivuta nakuwa
katika Mood ambayo mimi deeply in My Heart ndio Mood nayoitaka
kuwa/kuishi?

Mimi ni Muongeaji sana, mapepe sana, sio msikilizaji mzuri, mathali mara
kadhaa nimekuwa nikikatiza watu nao zungumza nao, japo huwa najistukia,
but tayar nakuwa kidogo nishakatisha mazungumzo, wakati mwingine naona
hasira ya mzungumzaji, hasa pale baba anapobiambia "Heebu Nisikilize
kwanzaaa", hapo nami najistukia, na kuanza kujilaumu, anyway nachotaka
sema ni hiki, napokuwa nimevuta Bangi, basi nakuwa Mpole, sina maneno
mengi, nakuwa settled, i think well wala sioni Uvivu kuwa in deep
thoughts, mara nyingi, kama sio zote hata threads nazoandika kuhusu
maisha yangu, mawazo yangu huyapanga vyema napokuwa "high" kama sasa,
japo hakuna hata neno moha naloweka La uwongo about me, japo wapo wanao
ni doubt.

Anywayz, Bangi hunipa Nguvu ya kufanya kazi ngumu, ambayo ktk hali ya
kawaida ningeteseka sana mpaka kuimaliza, I never Panic when am high, i
never Fight, i talk well, slow, i listen, i think before replying,
yaani, i alway become that Person i alwayz want to be in Personality
Manner, Sasa najiuliza how can i stop it?

When am high, am Cool, Calm, Gentle, Thinker, Decider, i act Upon what i
Plan when am high, and when am high at time of implementing that Plan,

I remember one day nikiwa pale napokaaga siku zote napotaka kuvuta,
nikiwa katkati ya nachofanya, Likaja wazo la Mshahara wangu kuwa mdogo
kulingana na kazi kubwa nayofanya, hapa ni kwa namna nilivyojivalue,
basi nikafikia azimia la kumface boss wangu Mdosi, keaho yake as well
asubuh kabla sijatoka Room, nikastua, and Ghafla nikapata stregth,
nikajikuta naongeza kuwa, sintofanya kazi wala kuripoti on my duty
station mpaka kwanza nimeongea na Boss, wangu, na kweli nilipofika,
nilimsubiri, alipoingia nikamfuata, nikamwambia, "Sir! May i please
speak with about something, aliniuliza what was it about, nikamwambia My
Salary Sir, hapo alikuwa amekaa kwenyw kiti chake, akazungumza kwa
kihindi, akisema na secretary wake, kidogo yule dada akainuka jikabaki
na Boss, japo Machozi kama yalitaka kutoka, nilijikaza nikamweleza kuwa
sijafurahishwa na kiasi cha mshahara nacholipwa ukilinganisha na nafasi
ya kazi, pamoja na dhanama ya ofisi nayoipewa, nikamtajia kiasi nachoa
amini ni fair mimi kulipwa kulingana na kazi yangu, na Ujumla wa mali
nao utunza in terms of both Value n Quantity, na kweli baada ya week
mbili nilipewa barua ya kuongezewa Mshahara.

Ilinipa Ujasiri ambao nautaka siku zote, lakini naupara when and Only
when am "High"......

Ni habari ndefu kidogo, but just imagine, najiuliza hapa sasa hivi, how
can i stop it? And again how can i be the Man i wanna be intermz of my
Personality, as i always be when Am High?

Ama nisiache?

Was just Thinking........!!!!! Mmmmmh.

vuta na endelea kufanya mema,tuko pamoja rasta
 
Ikiwa nikiivuta nakuwa katika Mood ambayo mimi deeply in My Heart ndio Mood nayoitaka kuwa/kuishi?

Mimi ni Muongeaji sana, mapepe sana, sio msikilizaji mzuri, mathali mara kadhaa nimekuwa nikikatiza watu nao zungumza nao, japo huwa najistukia, but tayar nakuwa kidogo nishakatisha mazungumzo, wakati mwingine naona hasira ya mzungumzaji, hasa pale baba anapobiambia "Heebu Nisikilize kwanzaaa", hapo nami najistukia, na kuanza kujilaumu, anyway nachotaka sema ni hiki, napokuwa nimevuta Bangi, basi nakuwa Mpole, sina maneno mengi, nakuwa settled, i think well wala sioni Uvivu kuwa in deep thoughts, mara nyingi, kama sio zote hata threads nazoandika kuhusu maisha yangu, mawazo yangu huyapanga vyema napokuwa "high" kama sasa, japo hakuna hata neno moha naloweka La uwongo about me, japo wapo wanao ni doubt.

Anywayz, Bangi hunipa Nguvu ya kufanya kazi ngumu, ambayo ktk hali ya kawaida ningeteseka sana mpaka kuimaliza, I never Panic when am high, i never Fight, i talk well, slow, i listen, i think before replying, yaani, i alway become that Person i alwayz want to be in Personality Manner, Sasa najiuliza how can i stop it?

When am high, am Cool, Calm, Gentle, Thinker, Decider, i act Upon what i Plan when am high, and when am high at time of implementing that Plan,

I remember one day nikiwa pale napokaaga siku zote napotaka kuvuta, nikiwa katkati ya nachofanya, Likaja wazo la Mshahara wangu kuwa mdogo kulingana na kazi kubwa nayofanya, hapa ni kwa namna nilivyojivalue, basi nikafikia azimia la kumface boss wangu Mdosi, keaho yake as well asubuh kabla sijatoka Room, nikastua, and Ghafla nikapata stregth, nikajikuta naongeza kuwa, sintofanya kazi wala kuripoti on my duty station mpaka kwanza nimeongea na Boss, wangu, na kweli nilipofika, nilimsubiri, alipoingia nikamfuata, nikamwambia, "Sir! May i please speak with about something, aliniuliza what was it about, nikamwambia My Salary Sir, hapo alikuwa amekaa kwenyw kiti chake, akazungumza kwa kihindi, akisema na secretary wake, kidogo yule dada akainuka jikabaki na Boss, japo Machozi kama yalitaka kutoka, nilijikaza nikamweleza kuwa sijafurahishwa na kiasi cha mshahara nacholipwa ukilinganisha na nafasi ya kazi, pamoja na dhanama ya ofisi nayoipewa, nikamtajia kiasi nachoa amini ni fair mimi kulipwa kulingana na kazi yangu, na Ujumla wa mali nao utunza in terms of both Value n Quantity, na kweli baada ya week mbili nilipewa barua ya kuongezewa Mshahara.

Ilinipa Ujasiri ambao nautaka siku zote, lakini naupara when and Only when am "High"......

Ni habari ndefu kidogo, but just imagine, najiuliza hapa sasa hivi, how can i stop it? And again how can i be the Man i wanna be intermz of my Personality, as i always be when Am High?

Ama nisiache?

Was just Thinking........!!!!! Mmmmmh.

itafika muda ubongo uta choka na ita kuletea shida sqna wakati wa uzee wako so jaribu kupunguza idadi ya pic za bang unazo vuta taratibu mpaka kuacha kabisa
 
msaada jamani,nataka niache kabisa hii k2(BANGE,majani,kaya,joint,kijiti,msuba n.k).naivuta sana japo nimejitahidi kwa siku roll 1 !kete!.nifanyeje niweze acha kabisa...msaada wadau mjengoni
 
Back
Top Bottom