Msaada jinsi ya ku update window 8

Msaada jinsi ya ku update window 8

Mr. BK

Member
Joined
Aug 6, 2014
Posts
99
Reaction score
35
Habari zenu wajumbe.
Nimeweka window 8 kwenye PC yangu but kila wakati inaniletea notification ikinitaka ni update " go to setting and update window" nishafanya hivyo mara nyingi lakini tatizo bado linajirudia.
Naomba kwa Mwenye uelewa jinsi ya kutatua tatzo hili anisaidie.
Natanguliza shukrani zangu kwenu.
 
Hata mimi ninatatizo kama hilo kitambo sasa na ninachofanya ninadownload updates na kuziweka off-line wenyewe wanaits off-line update jambo ambalo silipendi. Ngoja wenye ujuzi watusaidie Mwl.RCT Mzizi Mkavu,.....
 
Last edited by a moderator:
Dawa ya Microsoft nikuweka hizo updates Off
Maana microsoft kila kitu update update update mpaka hata Baada ya kuinunua Skype kashaanza kuweka majonjo
Mm nafikiri update nyingi za windows sionagi effect yake na maana yake ndo maana naziwekaga Off
 
hio ni windows 8.1 ambayo ni lazima ku update. kama ni windows ya mtaani usi update maana haitakubali ila kama ni windows halali update tu
 
Back
Top Bottom