Msaada jinsi ya ku divert namba

Aminat

Member
Oct 15, 2011
10
3
Jaman naomben msaada kwa yeyote anayeweza kunielekeza namna ya ku divert namba ya mtu akipigiwa nisikie
 
nadhani inategemeana na aina + model ya simu mkuu...hivihivi tu mbona itakuwa ngumu...! na kwa kukusaidia kama unaifaham hiyo model ya simu unayotaka kufanya hivyo search google for user manual yake utapata maelekezo ya kutosha!
 
Duu!ili iweje?tatizo siyo simu ni akili ya mtu!anyway leo man u hachomoki.
 
Duu!ili iweje?tatizo siyo simu ni akili ya mtu!anyway leo man u hachomoki.

Weh! weh! weh! isije ikawa kama washika bunduki hadi 8!!! mi nawaheshimu sana hawa w2 noumaa leo nyie kwishney
 
Back
Top Bottom